“Kama coordinator wa Linda Mwananchi nawahakikishia Kakamega ni bedroom ya Linda Mwanachi. Hakuna confusion, Linda Mwananchi ni jeshi la Raila Odinga. Kazi yetu imekuwa kuhakikisha mkataba kati ya UDA na ODM umetekelezwa.
ODM imesema hawana candidate wa kusimamisha kama Rais. Si Edwin W. Sifuna anaweza kuwa President wa Kenya? Sifuna alizaliwa na kusomea Kakamega. Tutamsukuma Sifuna awe Rais wa Kenya nami niwe Seneta wa Kakamega.






