Becky 31st Jan Update: Moses Jabulani Died On Line Of Night Duty

0

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏 MOSES JABULANI DIED ON LINE OF NIGHT DUTY
Huku kwa Moses Jabulani,my laws,ni huzuni tu. Imelia ndio kufika wanafika,anakutana tu na magari huko nje za polisi. Trisha ndani ni kulia analia tu,hadi wakati Imelia alimuuliza shida ni nini? Trisha akamwambia maam,Moses is dead,aah! Aje! How! Moses amekufaje?,kuliendaje ndio mzee akakufa? Maswali lakini majibu hamna.

Becky

Lexy na Tito pia ndio wanafika, na kuna inspector Eric alikua hapo akasema atahandle investigation. Lakini Imelia anajiuliza how,Moses alikufa aje? Trisha pia anasema hata hajui,”ati hujui,ati hujui aje na unaishi na yeye hapa?”. Imelia alimuuliza Trisha lakini Eric aliwaambia,venye mambo iko,hii ni natural death. Alafu sasa wazimu Lexy alianza kucheka,akasema mnaona,Karma ndio hiyo,huwezi kula vitu za mtu na u get away with it,he deseved that death. Imelia alijam,akaamkia Lexy makofi,kama si Tito kushika Lexy na Inspector kushika Imelia,kangenuka hapa. Ilibidi Lexy atolewe nje. “Hizi ni nini anaongea” hadi Tito pia alimwambia Lexy wee pia unabore sasa,unaezaje behave hivi kama mtoi? Lexy akamuuliza kwani uko side ya nani?,yangu ama yao? Tito akamwambia “upuzi,Moses amefanya nini,ni pesa zake amechukua unasema zako,naona hauna kichwa poa wewe”. Lexy akamuuliza Tito,hivi ndio utaongelesha mimi mdosi wako? Tito alimtusi,akamwambia we kwenda huko na kichwa ngumu kama ya Pauloh,utashinda kubehave aje hapa kama mtoto? Lexy akashtuka hakutarajia Tito atamuongelesha hivi lakini Tito alikaambia wee ishia bna na huyoo Tito akaenda zake. Kudos Tito!

Imelia alikataa,akamwambia hii haiezi kuwa natural death,nimekua na yeye jana alikua tu sawa kwani hii natural ni 24hrs, never. Trisha akamuuliza so unajaribu kusema nini? Imelia akamwambia ni wewe umemuua. Kisha kiidogo hivi,uchunguzu ukiendelea kufanywa,kuna detective mwingine alienda kwa bed room ya Trisha na Moses,akapata chini ya pillow,kuna dawa fulani maarufu kama viag**ra,hii nayo ukiwa mzee alafu umeze tu tembe mbili,eeeh,nakuambia utasimama hadi roho ikae chini ipumzike na kawaida roho ikipumzika utakua ushafika mbinguni,hizi ndio zilimuua Moses,alimeza akidhani atachafua Trisha,kumbe kikamramba😢😢😢wazee kama hauna nguvu za kiume,mniite tu🤣🤣🤣.

Imelia ameshtuka,kwani hizi ndio zimeua Moses? Hadi akauliza Trisha,ebu niambie,mbona wakati tu Moses ametransfer mali kutoka kwa Lexy akakufa? Kunamaswali hapa,hadi Becky akachangia akaongeza akasema sikizeni,,chenye Imelia anasema ni kweli, Moses ni mtu wa pili kukufa akihost huyu dem,kuna dem anaitwa Shantelle,alihost huyu dem na Shantelle akakufa,sai ona Moses pia amehost huyu dem akakufa. Inspector ndio haamini,hii ni kesi gani hii,but aliwaambia atafanya kazi yake hadi wajue ukweli wa maneno. Trisha alibebwa,hadi polisi station.

Becky

Becky aliambia Imelia asijump into conclusion sai atulie polisi wafanye uchunguzi ju maybe Trisha ako innocent. Imelia akamwambia zii,huyo msichana apana, I warned Moses kumhusu hakuniskia,ona sasa. Becky alimwambia hata pia nachukia sana Trisha but for now,acha serikali ifanye kazi kazi. Woiye Moses, RIP.

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐
Haya twende kwa mansion,Moh yuko busy anapanguza floor akimob meza. Lexy na Tito ndio kufika wanafika,kumbe Lexy baadaye alimfuata Tito ju aliona wueh,huyu akienda mimi kwisha. Waliitisha juice hapo kiasi wateremshe jasho kwa tumbo,by dha you people mshawai jua trachea husweat? Hamjui? Hata pia sijui.

Lexy alikuja akauliza Moh,kama Trisha alisema kitu kuhusu babake Lexy? Moh akamwambia zii sikusikia. Lexy akamwambia imagina James Jabulani si babangu na wakati nauliza madhe,tunapigiwa simu Mose amedie. Ona Moh kushutka,anapata mshene live live. Alimuuliza Moh kama ni sumu ama? Lexy akamwambia mi sijali,mimi na Mose tuliachana kitambo sana na sijali kumhusu. Lakini Moh alishindwa, Trisha akaambia Lexy James si babake alafu kiasi kiasi Moses anakufa akiwa na Trisha,kwani kunaendaje???

Imelia washafika nyumbani,anashindwa ataanzaje kuambia watu wa kina Moses ati mtoto yao alikufa akiwa amesimama😢😢😢Becky akiwa tu hapo,alipigiwa simu na Moh akitaka kujua ukweli wa kifo cha Moses. Becky alimwambia yeah ni kweli but sitaki kuconclude anything. Moh akamwambia sikiza, sisi wote tunajua ni Trisha na ashajua Lexy si wa Jabulani so lazima Trisha anajua na wewe pia kumbuka will inakuja kaa rada. Becky akamuuliza,kwani pia uko involved kwa hii kifo? Moh akamwambia zii,akamwambia najua utanijudge maisha yangu,but please shikana na Junior,hii mali iwe yake ,ju ile speed Trisha anakuja nayo si mzuri vile,ashaanza na Moses.

Becky alishindwa sana na Moh,msee amekufa na yeye ako tu kwa mali? Becky alimkatia Moh simu,ju anaona huyu hawaelewani but chenye Moh anataka ni Becky apate mali waishi maisha fiti. Kumbe Becky akiongea na hasira,Junior alikua hapo na akajua huyo lazima ni Moh,akakuja akamuuliza Becky,huyo ni sister yako sio? Becky akamwambia yeah,yeye ndio anaeza fanya niwe hivyo. Junior akaambia Becky amekuja kuongea na Imelia,ashajua already what happened kwa Moses.

Kufika kwa hao,Imelia analia,Junior akauliza rada? Becky akamwambia si umesema unajua kila kitu already? Junior akasema yeah,najua Lexy si mtoto wa James. Imelia alimwambia hiyo si news,news ni Moses Jabulani amekufa. Hii Junior hakua anajua. Imelia alianza kulaumu Lexy,akasema huyo mtoto hata angeendelea kuishi streets,kama hangekua,wewe Junior ungekua mansion bado,kama hangekuja,Moses hangekufa,kama hangekuja,Becky hangekua anateseka sai,that kid is just bad luck…ukweli huo.

Share

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *