Ukifuatilia Rekodi Za Utajiri Wa Huyu Jamaa Wicknell Chivayo Utagundua Bongo Hatuna Matajiri

Ukifuatilia rekodi za utajiri wa huyu jamaa Wicknell Chivayo utagundua bongo hatuna matajiri, tuna watu masikini wenye uchumi wa kawaida kabisa na mbwembwe nyingi, huyu jamaa alikuwa na pesa aisee

Jamaa ndege binafsi tu alikuwa nayo ya Gulfstream kama ile ya Cristiano Ronaldo yenye thamani ya zaidi ya bilioni 86 za tz achana na helikopta yake nyingine hiyo aliyopata nayo ajali

Magari ndio usiseme alikuwa na rollys royce kama uchafu, ma g wagon na ma lamborghin, hizi LC 300 na GXR ndio alikuwa anagawa kama zawadi kwa masikini na watu mbalimbali tena za mwaka 2026

READ Also  Images Circulating From The Scene Show Deep Cracks On A Pillar Of The Building

Majumba achana na vile vichanja vya kina mwijaku kule Mbweni vya kutunzia tunguri, jamaa alikuwa anajenga mtaa mzima “Mansion”

Kiufupi kupitia maisha ya Chivayo nimegundua tz hakuna matajiri, tutafute hela wakuu, kule katoro ni mbwembwe za kitoto kabisa hakuna matajiri mle aisee na utajili wa kitapeli wa kina Chief Godlove wa jicho la Tatu kujiunga hadi laki moja

Hizi Lexus wanazotambia matajiri wa katoro na kina Chief jamaa ndio alikuwa anagawia masikini.

Milton

Professional IT expert and experienced news writer/ online marketing expert

Related Posts

A Nairobi Man Has Been Told To Pack His Belongings And Leave After Spending Several Months Without A Job

A Nairobi man has been told to pack his belongings and leave after spending several months without a job following the repossession of his Uber car. According to the story,…

Read more

Update: Trump Speaks About Flydubai Co-pilot

President Trump says the Flydubai co-pilot who allegedly tried to crash an Israel-bound passenger jet appears to be linked to Iran. Israel says the midair chaos was an attempted terror…

Read more

You Missed

A Nairobi Man Has Been Told To Pack His Belongings And Leave After Spending Several Months Without A Job

  • By Milton
  • October 2, 2026
  • 2 views
A Nairobi Man Has Been Told To Pack His Belongings And Leave After Spending Several Months Without A Job

Update: Trump Speaks About Flydubai Co-pilot

  • By Milton
  • October 2, 2026
  • 3 views
Update: Trump Speaks About Flydubai Co-pilot

Ukifuatilia Rekodi Za Utajiri Wa Huyu Jamaa Wicknell Chivayo Utagundua Bongo Hatuna Matajiri

  • By Milton
  • October 2, 2026
  • 3 views
Ukifuatilia Rekodi Za Utajiri Wa Huyu Jamaa Wicknell Chivayo Utagundua Bongo Hatuna Matajiri

UPDATE: ODM Party Announces Venues For A Nationwide Candlelight Lighting Ceremony Of The Late Raila Odinga

  • By Milton
  • October 2, 2026
  • 3 views
UPDATE: ODM Party Announces Venues For A Nationwide Candlelight Lighting Ceremony Of The Late Raila Odinga

Russia Warns NATO It Is Ready To Use Nuclear Weapons If Kaliningrad Is Cut Off From Russia

  • By Milton
  • October 2, 2026
  • 5 views
Russia Warns NATO It Is Ready To Use Nuclear Weapons If Kaliningrad Is Cut Off From Russia

Iraq Marks U.S. Military Withdrawal After More Than Two Decades

  • By Milton
  • October 2, 2026
  • 5 views
Iraq Marks U.S. Military Withdrawal After More Than Two Decades