SPOTI EXTRA!
● Kenya walipa ada ya kuwa wenyeji wa AFCON 2026 athibitisha Salim Mvurya.
● Benni McCarthy amiminia sifa tele mlinzi wa Gor Mahia na timu ya taifa Frank Odhiambo.
● DR Congo hao yatinga Kombe la Dunia baada ya miaka 52.
● Burundi yailaza Chad 8-0 na kufuzu makundi AFCON 2027.
● Kocha zamani wa Morocco, Walid Regragui atajwa kuinoa Ghana Kombe la Dunia.
● Iran kushiriki Kombe la Dunia Marekani asema rais wa FIFA Gianni Infantino.
● England yapoteza dhidi ya Japan nyumbani Wembley.
● Uturuki yarejea Kombe la Dunia baada ya miaka 24.
● Italia yashindwa kufuzu Kombe la Dunia kwa mara ya tatu mfululizo.





