P๐๐๐ ๐
Jemimah alipigiwa simu na Ray,akamuuliza mbona hukuniambia Chris ako na gun? Jemimah akamwmabia sikujua ataibebaโฆJemimah akamuuliza na pesa mko nazo? Ray akamwambia yeah na sijui pa kuzieka..Jemimah akamwambia kaa nazo hadi mambo yatulie. Ray akajaribu kumwambia yoh mi siezi kaa na hizi pesa lakini Jemimah akakata simu,kwa nini? Kwa sababu Chris aliingia.
Chris amefika akiwa ameumia sana,alafu Jemimah anajifanya kuhurumisha sana but she is the maste rmindโฆakamuuliza kama aliona wale wezi but Chris akamwambia zii,sikuwaona but shida yangu tu walijuaje niko na pesa. Ona Jemimah venye pia anasema na kweli walijuaje ๐๐๐makosa yenye akina Ray walifanya ni,waliacha motorbike.
Ray ilibidi arudi nyumbani,shida sijui ataambia Asha aliumia akifanya nini na bado yuko na zile pesa,mamillion ya pesa. Alifika kama Asha kamelala akaingia pole poooole kwa room akaeka chini ya bed,but Asha hakua amelala,she was awake na akaona chenye kimeekwa kwa kitanda. Kuuliza Ray akasema ni vitu za job.
Asha akanotice kidonda kwa mkono wa Ray,akamwambia babe yafaa twende hosi lakini Ray akamwambia yoh mi niko sawa babe, usiwe na wasiwasi.
Kumbe Chris na yeye alisuspect mtu, Tyrone. Chris alimcall Tyrone akamwmabia najua ni wewe tru ulitumana watu waniibie pesa and you will pay for it. Tyrone akashindwa,sasa hii imetoka wapi ju kusema ukweli he has no idea what Chris is talking about ๐๐๐
Ray ashatulia amefungwa mkono huku Asha anamwambia babe siezi taka kitu mbaya ikufanyikie ama ufanye kitu mbaya. Ray anamwambia tulia babe, siezi fanya kitu mbaya na nitamake sure unakaa maisha poa. Punde si punde wakikunywa chai, mlangoni kukabishwa.
Ray akauliza wee ni nani anabisha? Kumbe ni yule jamaa mwenye walikua na yeye jana,at least Ray roho ikatulia. Lakini cheki,wakati Ray ameenda kuongea na beshte yake kwanza anaitwa Along Lilo(AL)โฆhapo na hapo,Asha akafanya one, very big mistake,akaends kuangalia ni nini Ray alieka chini ya kitanda jana usiku,,aaah! Makosa. Hata kama ni bwanako,as long as ushajua yeye ni gaidi na asuspect unaeza mset manze wewe ni kwisha maneno,Asha, ashajitangazia Kang’o ka Asha ๐๐๐
๐๐๐๐ ๐
AL alikuja kuongea na Ray kujua venye ako na Ray akamwambia mnaona shida mumenieka? AL akamwambia tulia at least uko sawa.
Ray hawana habari Asha ashachukua bag. Kisha AL akaambia Ray unajua hiyo pikipiki waliipata? Ray akamwambia unaona, sasa si tutashikwa? AL akamwambia tulia,hiyo piki niliiba so wakitafuta watashika tu mwenye pikipiki but si sisi.
Ray akaambia AL achukue zile pesa aende nazo but AL akamwambia si unajua mi huwa siishi pahali so kaa tu na hizo pesa.
Wacha Ray arudi kwa nyumba,apate Asha ako na ile bag..lakini ajabu ni kuwa Ray hakushtuka,kwa nini,kumbe,enyewe akili mali, real bag ya pesa haiko hapa,real bag ya pesa Ray alificha akakuja an bag ingine yenye imejaa nyundo,koromeo na kokobilo..hizo ni vifaa za mjengo mshishangae ๐๐๐
Swali alibadilisha saa ngali? Usiku, wakati Asha amelala,Ray alishuki,akaamka pole pooole akachukue zile pesa akaeka kwa bag tofauti,.na bag yenye Asha aliona akaeka zile vifaa vya mjengo. Hivyo ndio Asha kalichezwa ๐๐๐
Tinah na yeye shughuli after shughuli,kwanza leo anaenda Gikomba na ashaitisha uber. But msee wa uber anamchelewesha sana akafanya Tinah akachelewa hadi akapatwa na Tinah.
Jemimah alimpata Tinah akamuuliza niliambiwa unanitafuta? Tinah akamwambia yeah, I just wanted to kuomba msamaha. Jemimah akamuuliza what if ni plan yako na Chris nidhani mumeachana kumbe mnanicheza? Tinah akamwmabia for real for real I mean it.
Lakini punde si punde, Jemimah akaona makarao wanaenda kwa Tyrone na Chris ako ndani. Jemimah akajua mara moja ni Tyrone ameendea.
Tyrone yeye hana habari whats coming, ashaoga anaenda kazini lakini punde si punde, makarao wakafika na Chris. Akawauliza shida ni nini? Chris akasema ni huyu,alitumana watu waniibie pesa zangu. Tyrone yeye hajui anythingโฆamekuja tu kushikwa.
Jemimah pia alifika akauliza Chris ujinga gani unafanya? Chris akasema huyu ndio alituma watu waniibie ju ni yeye alijua nimelipwa shares zangu. Tyrone alikosa otherwise wakaenda polisi kuandika statement but Tyrone aliangalia Jemimah kwa macho akamwambia sikiza Jemimah, I have nothing to do with this. Jemima anajua yeah its not Tyrone,ju ni yeye kama Jemimah ndio alitumana.





