CHANJO.
Kama ilivo Kwa Aina nyingine za Mifugo chanjo NI kitu cha muhimu Sana kukizingatia ili kuepusha hasara zisizo za Lazima.
πMifumo ya chanjo imetofautiana kutokana na maeneo unapo wachukua kuku (Ni vema ukaulizia kupewa Ratiba sahihi Kwa Aina ya kuku unao wanunua).
CHANJO INAYOTUMIKA SANA ILI ISISUMBUE
π Siku ya 7 Newcastle /Kideri
π Siku ya 14 Gumboro/IBD
π Siku ya 21 Newcastle/Kideri
π Siku ya 28 Gumboro
π Wiki ya 4-5 ( siku 30-35 Ndui )
π Kila baada ya miezi 2-3 Newcastle
π Wape Dawa ya minyoo wakifika miezi miwili,kisha kila baada ya miezi 2.5 – 3
RATIBA ZA CHANJO ZINAWEZA KUTOFAUTIANA KUTOKA SEHEMU MOJA KWENDA NYINGINE ( Ndui Kwa sasa maeneo mengine inachanjwa mapema Kati ya Siku 21-25 ).
MAMBO MUHIMU
βοΈZingatia Chanjo
βοΈWeka kumbukumbu zote Ipasavyo
Ushauri juu ya ufugaji wasiliana nasi ππ½
Call/Text/WhatsApp
0707579313






