Watu 145 Wamefikishwa Katika Mahakama Ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es Salaam Kwa Tuhuma Za Uhaini

Watu 145 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za uhaini, zinazohusishwa na Maandamano ya Uchaguzi wa Oktoba 29, 2025.


Kwa mujibu wa hati ya mashtaka 76 kati yao wanatuhumiwa kwa makosa mawili ya kula njama ya kutekeleza uhalifu huo nchini Tanzania kinyume na kifungu cha 384, cha sheria ya kanuni ya adhabu ya 2023.

Huku watuhumiwa wengine 21 wanashtakiwa kwa mashtaka mawili ambayo ni kula njama ya kuharibu miundo mbinu na uhaini

READ Also  Alejandro Garnacho on facing Arsenal tonight
  • Milton

    Professional IT expert and experienced news writer/ online marketing expert

    Related Posts

    • MiltonMilton
    • News
    • August 18, 2026
    • 2 views
    • 2 minutes Read
    Update: Okoth Obado In Court Again

    Convicted former Migori Governor Okoth Obado and his co-convicts are set to return to the Milimani High Court today for a virtual mention in the highly scrutinised Sharon Otieno murder…

    Read more

    WAFCON 2026 AWARD WINNERS

    WAFCON 2026 AWARD WINNERS WAFCON2026 READ Also  Football Titbits across the papers

    Read more

    You Missed

    Update: Okoth Obado In Court Again

    • By Milton
    • August 18, 2026
    • 2 views
    Update: Okoth Obado In Court Again

    WAFCON 2026 AWARD WINNERS

    • By Milton
    • August 18, 2026
    • 3 views
    WAFCON 2026 AWARD WINNERS

    Weather Forecast For 18th to 24th August 2026

    • By Milton
    • August 18, 2026
    • 6 views
    Weather Forecast For 18th to 24th August 2026

    Opinion: Ruto’s Top Leaders Who Will Ditch Him

    • By Milton
    • August 18, 2026
    • 8 views
    Opinion: Ruto’s Top Leaders Who Will Ditch Him

    π—”π—‘π—”π—Ÿπ—¬π—¦π—œπ—¦: Iran Uses Low-Cost Drones to Pressure U.S. Air Defenses

    • By Milton
    • August 15, 2026
    • 13 views
    π—”π—‘π—”π—Ÿπ—¬π—¦π—œπ—¦: Iran Uses Low-Cost Drones to Pressure U.S. Air Defenses

    North Korea Condemns U.S.-South Korea Military Drills, Warns of Strong Response

    • By Milton
    • August 15, 2026
    • 9 views
    North Korea Condemns U.S.-South Korea Military Drills, Warns of Strong Response