๐๐€๐‘๐“ ๐Ÿ
Hakimu alimkaribisha Junior ndani alafu cheki venye Becky ameshtuka kwanza amepatwa kama amekaa. Becky ako na wasiwasi akaambia Junior please I hope hujakuja kucause drama,lakini Junior alimwambia relax,you did your part acha nifanye yangu. Junior akaambia Hakimu,in as much as Becky alidanganya kwako,mbona unataka nifanye kazi kwako? Hakimu akamwambia Iam not the person you think plus kila mtu hufanya kazi kivyake. Junior anashangaa kiasi hadi anakosa kuamini ati Hakimu ashamsamehe na Hakimu akaambia Junior,kitu moja yafaa ujue ni hamjalazimishwa kufanya kazi kwangu. Junior akaona kazi muhimu akaomba msamaha na wakafanya handshake.

Kwa mansion Moh haamini Pupa anasupport Sanchez hadi akamwambia manze Iam soo disapointed sana,wewe hujui Sanchez mimi namjua lakini Pupa alimwambia msikize tu sai ako reali kwako sana lakini Moh akamwambia I thought mimi na wewe ni kitu kimoja? Pupa akamwambia aii,mimi ni kazi tu siste,ni kukupea push tu hakuna cha pamoja tu. Moh anaamini Sanchez wameongea na Becky kumvuruga๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Moh alienda akaacha hapo Pupa na Sanchez an ukiangalia Sanchez amesimama,alipigwa kofi Moh but haikulala bado amebaki amesimamaโ€ฆsijui kama mnaniget๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Junior na Becky,we live together,we stay together,we love each oter hadi Junior akaambia Becky,close your eyes. Becky kufunga macho,Junior akapiga magoti kumbe hadi ashabuy ring,akauliza Becky,will you marry me? Becky akiwa an furaha,hangeacha hii chance ipite,I will marry you love,I will marry you anytime I will marry anyay,wewe ni wangu,mimi ni wako and together,we fight poverty not each other. Junior akapropose kwa Becky LIVE LIVE kwa nyumba ya Hakimu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Lexy na yeye amewaka mbaya,but mamake alimwambia please sikua naongea na Becky,alikua Junior. Lexy alimwambia wee endelea kupreach maji ukikunywa pombe na uache kumake empty promised. Heartbroken boy na yeye ndio huyu ndio anafika,Amelia akamuuliza Sanchez uko sawa,naona unakaa hauko sawa? Hadi Lexy pia akauliza Sanchez rada๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Hawana habari,huku ni maheartbreak tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

๐๐€๐‘๐“ ๐Ÿ
At least furaha ya Becky na Junior imerudi sasa hadi Becky akamsindi akamwamboa babe,sikutarajia hii itahappen. Junior akamwambia manze nilika nikafikiria nikaona bibi si nguo nitaenda soko kubuy,ikabidi niwe mwanaume.

Becky

Junior akiwa tu hapo,Becky akidhani kila kitu kiko sawa,alisikia kwa gate kunabishwa na nguvu sana,kumbe ni Moh,amekuja,amewaka na hataki ujinga๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Becky alimuuliza shida ni nini Moh? Moh akamwambia nimekuja kumaliza chenye ulianzisha. Becky anashinda shida ni nini hadi Moh ameanza kuta Hakimu. Hakimu akakuja akauliza shida ni nini? Moh akamwambia najua wewe na Becky mnacheza game na hamtatubeba mimi na Junior ufala. Hakimu akauliza Becky huyu na yeye ni who? Becky akamwambia ni sister yangu.

Sanchez amefunguka,akasema amekufia Moh mbaya but Lexy akadhani maybe ni script Sancnez na Pupa wamekuja nayo ili kuprotect Moh na akaambia Sanchez nikiamua kuroundia Moh neither wewe nor Pupa will prevent but Pupa alipigiwa simu akasema ukweli venye Sanchez anasema hadi Lexy anacheka tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Moh na yeye amewaka sana hadi anaambia Becky najua ni wewe ulituma Sancnez akuje kuniambia ananipenda. Junior na Hakimu ndio wanashangaa tu hadi Hakimu akawaambia oya,sikizeni,mkimaliza kindly mnifungie gate,hii drama yenu is more than enough๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Lexy alisema enyewe mwenye unapenda hakupendi anapenda mwingine,yani nikapenda Pupa hanpendi,sai Sanchez anapenda Moh hampendi,Junior na yeye anapenda Becky Becky ako na Hakimu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Becky aliambia Moh uende utaniharibia kazi bure tu lakini Moh akamwambia zii,kwanza wewe hudiserve chali kama Junior sindio Junior? Junior akamwambia ooh,you are wrong Moh,mimi na Becky hata tushavalishana pete,so naona hapa uko kisolo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Moh akakaushwa,hadi akauliza Junior,wakati nilikua naside na wewe sai unasema msharudiana? Moh akaona akuje kuuliza Hakimu mwenyewe sasa.

Moh alikuja akauliza Hakimu, unatka nini na Becky an Junior,kwanza ukalewesha Becky? Hakimu akamwambia sikiza wewe msichana,,Iam just trying to be a good boss lakini Moh akamwambia zii,kwanza uniambie mbona wee ni mdogo na uko na hii mali yote,lazia kuna kitu fishy hapa Hakimu akamwambia thats why kuna polisi station,enda report. Moh akamwambia nawajua sasa nyinyi ndio mbribe polisi mtoke๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Yani Moh,hata hajielewi.

Becky

Sanchez na yeye ameamua achukue break kiasi aende kupumzika. Lexy akamwambia haina shida but nikigundua uliua unanichocha,hivyo ndio job yako itakua imeisha. Sanchez,plus mzigo wake akaishia na Lexy akaambia mamake tena, acha tuone kama utasimama na mimi,na Becky ama na Sanchez.

Hakimu alikaa akaona enyewe huyu msichana anadhani mimi ni rika lake,akaamua kuita security but Junior akamwambia haina haja,Moh is just leaving. Hakimu alikua ameamua but ikabidi amecheza chini.
Hadi kesho majaliwa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *