App Icon

IYEF Social

Explore the world

Update: Becky 5th October 2023

0
Share

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
Tito alirudi kazini but he is soo stressed hadi hafanyi kazi kwa umakini,but punde si punde, Shan akafika amemletea lunch🤣Tito alimuuliza hizi ni gani tena Shan? Shantele akamwambia naona una stress kula lunch yangu utulie. Sanchez alikua hapo akaangalia tu Tito na zile macho za “nduguu,hizi ni mawhat”🤣🤣

Its a happy meal kwa Gatana’s hadi Martha aliamka,akasema venye she is soo gratefull kwa sababu not only her son proposed to Trisha,but also he made her wife pregnant. She is so excited,kisha upande wa nje,akasikia kumebishwa,akatuma Becky aende afungue mlango. Becky kufungua tu mlango hivi,akaona dem fulani hapo amesimama kwa mlango lakini Becky akashindwa,nimekuona waaaaapi,mmh! Becky akakumbuka,hata si kumuona kwa grave yard,alimuona huyu dem siku ya wedding ya Trisha akiuliza Trisha “haka ndio kadem kamaid” na sasa Becky is crystal sure that huyu dem ndio the same amekua kwa grave yard Trisha akienda kuona “kaburi ya mamake”.

Trisha kuona beshte yake alimkimbilia akamhug kwa furaha sana na akaambia akina Martha,she is called Vicky,one of the bestmaids kwa harusi yake yenye haikuisha venye inafaa🤣🤣Martha hawana shida na huyu mdem but Becky ashamkumbuka na amejua. Trisha aliambia Martha,nimemwambia sifeel poa na akakuja na Martha akamuuliza, umejaribu kumwambia umekua hosi because there is something kwa tumbo? Trisha akamwambia yeah she knows already.

Becky alitoka akakuja huku nje ya nyumba akaanza tu kulia. Moh alikuja akamwambia siz, ebu jicollect na uache hizi heatbreak za Tito,sai yafa tufikirie venye tutajikomboa kwa hii familia yetu na sasa its either wewe uambie mama Junior,ama mimi mwenyewe nitamwambia,mako…makosa. Kwa nini,kwa sababu,wakati wanaongea,nyuma yao! Martha Gatana,na ashasikia kuna kitu yafaa aambiwe,hadi akawauliza ni nini chenye yafaa niambiwe? Moh akajiuma uma akamwambia ni plans za kurudisha Becky na chali yake ju Becky aliachwa na najaribu kumcompose. Martha akaingia box,akasema no wonder ulikua unataka some fresh air but usijali heartbreak iko na wewe usijali,kila kitu itakua sawa. Akijua chenye yafaa aambiwe,sijui angeambia watu nini.

Kwa Mansion, Junior alijiexcuse akapea Trisha na Vicky wapige story zao. Junior kutoka tu hivi mshene juu ya mshene hadi Vicky anaambia Trisha,hizi ni gani,si wewe ni mnoma? Trisha alimwambia wee tulia, acha nikufunze kuishi Nairobi. Beshte yake anamwambia bestie,si hata ungesema mamako alienda huko nje ya nchi akakufa,ukaamua tu kusema Lang’ata,na siku watajua? Trisha alimwambia wee relax, babe,mambo bado. Moh alikuja hapo,ikabidi Trisha na Vicky beshte yake watoke.

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐
Martha alitoka na Becky waongee kiasi wakiongea na akamuuliza kama huyo chali yake ndio babake Jeff? Becky akamwambia zii,huyo si babake Jeff. Walikuja wakaa kwa kivuli na Martha akamuuliza kama huyo chali ashawai mpiga? Becky akamwambia hata kumguza hajai niguza. Martha akamwambia dont worry,hata Jeff anaeza kaa huku nitakaa na yeye. Becky akamwambia ni venye sitaki Jeff aone nikiwa hivi. Martha alimwambia hata kama unataka some few days off uniambie but Becky akamwambia heri nikiwa kazini nikiwa busy inasaidia niache kufikiria sana.

Vicky akiwa na Trisha,alimuuliza huyo mtoto anacheza na hubby wako ni nani? Trisha akamwambia achana na yeye,ni mtoto wa hicho kimaid. Vicky akamwambia by dha way,huyu dem kuna venye ako rada yangu,nikama aliniona kwa grave na tena ako suspicious sana. Trisha akamwambia usijali,huyu dem nitamfanyia kitu,acha tu. Vicky akamuuliza utafanya nini? Trisha akamwambia si pregnancy mood zinaanza,anytime nikimuona nitakua natapika tu apanguze🤣🤣🤣

Tito yuko kazini,wateja wamekuja wanakula mutura plus ya Tito huwa tamu sana na huwa safi ndio maana inakuliwa mchana🤣🤣wateja kuenda, Sanchez akauliza Tito,uliamua huwezi acha story za Shan? Tito akamwambia sasa ulitaka niache chakula,mimi aliniletea kiroma n singekataa. Sanchez akamwambia ni sawa,usidhani mimi ni fala,acha tu nicheze chini. Tito alimwambia usijali, najua chenye nitafanya wee tulia tu.

Junior huku nje wamecheza foota na Jeff hadi wamechoka na Jeff akaambia Junior,mtoto wako akiwa mkubwa nitamfunza foota. Junior aliangalia kwa mansion akaona Trisha wamemuangalia akawagotea na akaendelea na story na Jeff. Trisha na yeye,wanapanga venye story yao yafaa iwe akaambia Vicky incase aulizwe,aseme Trisha wazazi walikufa akiwa mdogo akawa rescued na church na hata hajui relatives wake. Hii ndio story wametunga. Martha alikuja na Vicky akaomba ruhusa kuondoka,she will pay a visit next time. Kitu kinauma Trisha sana sana kuwepo kwa Becky ni ati ametoka ghetto alafu anampea insecurities ati.

Martha alikuja akawapea Becky na Moh ruhusa waende wasije wakachelewa. Trisha alisema atamuangalia Jeff vizuri sana kama mtoto wake. Becky ana wasiwasi sana ju anajua huyu Trisha huyu,hana kizuri kwa mtoto wake but atafanya nini,aliacha Jeff na akaenda. Ni Mungu tu atamlinda.

Kwa barabara, Moh aliambia Becky,anakimbia kwa Mama Omosh achukue samaki ya supper. Becky akaachwa kuenda home na Moh akaenda kwa Mama Omosh eti…

Kumbe Tito na yeye,aliamua kuja kungoja Becky kwake but Becky kufika akafungua mlango kuingia kwa nyumba. Tito alimwambia please Becky lakini Becky alimwambia enda kwa manzi yako. Tito aliomba msamaha,akamwambia walai huyo ni shetani aliniingililia,tuingie tu ndani tuongee. Becky alimwambia sikiza,nilifunzwa kurespect decision za watu so bro,kanyaga uende kwa Shantelle. Tito alitaka kusikizwa but Becky alikataa,akamwambia hadi sina place ya kulala but Becky alifunga mlango akamwambia kanyaga uende zako.

Becky anaumwa sana,aliingia kwa nyuma akaanza tu kulia. Tito amebreak trust yake,atafanya nini. Hebu tutoke kwa Becky twende kwa Shan.

Shan akuwa nyumbani,alibishiwa mlango kwa nguvu sana hadi akauliza oya,mwenye unabisha,si basi uvunje tu mlango story ziishe🤣🤣🤣 Shan kufungua,ni Moh. Moh alianza kuambia Shan,unajua madem kama wewe ndio mnatuharibia majina huku nje. Shan akamwambia kama huu mdomo ndio umeniletea rudi kwenye umetoka,lakini Moh akamuuliza,unaeza lala na chali ya beshte yako Shantelle? Shan akamuuliza kwani plan ilikua aje,si tulipanga tuondoe Tito kwa maisha ya Becky ama? Moh akamwambia haikua iwe hii design. Shan akamwambia chenye imehappen ishahappen na mimi nilitaka tu asikie fununu sikutaka akuje kuona. Moh akamuuliza unajisikiza kweli? Shan akamuuliza,kwani mbona Becky alikuja huku morning? Moh akamwambia ju jana yake Tito ilikua akuje waongee na Becky so Becky venye hakumuona ikabidi amekuja kujua rada yake ni gani na ndio akawapata. Shan alimuuliza Moh sasa afanye nini ju anajua Becky hatawai mforgive. Moh akamwambia wee relax nitaongea na Becky but chenye kimenileta huku ni kukuambia Trisha ako ball🤣🤣🤣yani udaku unapikwa huku..ni mboga tu hakuna.

Tito alirudi kazini ameisha,hata appetite ya kusimama hana inabidi akae tu🤣🤣🤣Sanchez aliambia Tito sikiza, hii life hata unago through nini,make sure unakula ju sijui ulidhani itakuaje after Becky amekupata. Tito alimwambia manze hii imeenda bro. Sanchez alimwambia wewe mpe time. Tito alimwambia time nitampea ndio but venye huyu dem anabehave unaeza dhani hajau makosa. Sanchez alimuuliza sasa utadu,una form gani? Tito akamwambia hapa venye naona,nikama nitaenda tu kuishi na Shantelle🤣🤣🤣anaitwa Tito.

Ad
Let us Advertise your business and reach more people across the world and get profit .Email us: info@milton.co.ke or Whatsapp on +254707579313

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *