Raila Odinga Akutana Na Wajumbe Wa Pwani (Picha)

0

Kinara wa Orange Democratic party Leo amekutana na Wajumbe wa Pwani ambapo alichukua fursa hiyo kuwahimiza washikamane ili chama Cha ODM kiwe imara ifikapo mwaka wa 2027.

Raila Odinga

“KONGAMANO LA WAJUMBE WA ODM MOMBASA

Leo mchana tukiandamana na Baba Raila Amolo Odinga tulichukua fursa hii muafaka kuhudhuria Kongamano la Wajumbe wa Chama cha ODM Kaunti ya Mombasa lililofanyika katika ukumbi wa Badala katika eneo la Majengo Kaunti ndogo ya Mvita.

Raila Odinga


Mbali na masuala mengine muhimu yaliyojadiliwa kuhusu chama, Eneo bunge la Mvita lilitangazwa kuwa bora zaidi na la kwanza katika usajili wa wanachama wengi zaidi kufikia 25,000 huku Nyali ikishikilia mkia”, Havana wa Mombasa Abdulswamad alisema.

Share

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *