Never Cheat On Your CV, Kitakuramba

0

Nilidanganyana ati kwa CV ati mimi ni Mechanic niko na experience ya Miaka tatu kutengeneza trucks wueeh nikapata kazii harakaa

Nikapewa Mp4 🤣🤣niendeshangee Kumbe imesetiwa Haina Oil sasa nikiwa kwa Yard ikaanza kutoa ile alarm ya oil ikazimaa

Mimi na ujuaji Yangu nikaulizwa ni nini shida nikasema ati ni overheating hivyo ndivyo nililimwo na mdosi nikaitiwa cruzaa kibarua kilikunywa majii🤣🤣

Please never cheat on your CV.

Share

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *