
Francis bibi yake alimwambia amchungie watoto akikufa. Hakua anajua that was the last conversation watakua nayo . Alikua mgonjwa sana and hiyo clinic wakati waligundua ako in a critical condition walimwambia aende home kufika home just 10 minutes akazidi kurudi hosi wakapata clinic ishafungwa. Next morning bibi yake alimwambia akikufa amlindie watoto vile angewalinda wakiwa naye and that’s how aliaga. May her soul rest in peace.
Leave a Reply