Halafu – Jay Melody [LYRICS]

eeeeeh oooona eeeh
eeeeeeee

Eti unataka nini?
Hivyo naambiwa mimi eeh
Kimahaba kama jini yeah
Yani moto hauzimi we

Huko nyuma nilipata varangati
Ni mateke kama sensia
Siku hizi napikiwa kaimati
Ex kazi yako kuumia eeh

Halafu halafu ananipaga nyama yaani ndafu she
Halafu halafu inakuaga chips kavu kavu yeah

Halafu halafu eh, halafu halafu yeah
Halafu halafu anakuaga bata yaani chafu
Uwoo, ulala

Kutokana nampenda utatatami utatoka denda weh
Kwenda huko mwana kwenda, nilikupa moyo we ukautenda

Nasema riri rarirariraaa, hururu rarirarira
Nasema riri rarirariraaa, hururu rarirarira

Nimekuacha (Rarirarira)
Na sikupendi (Rarirarira)
Na umebaki (Rarirarira)
Hururu rarirarira

Halafu halafu ananipaga nyama yaani ndafu she
Halafu halafu inakuaga chips kavu kavu yeah
Halafu halafu eh, halafu halafu yeah
Halafu halafu anakuaga bata yaani chafu (Bataa)

Kama unaupenda huu wimbo dondosha emoji moja.

Share

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *