Duniani kuna mambo sana

Kuna dada kanifata anaomba ushauri

Ameolewa na amefanikiwa watoto 3

Kuna kipindi alichepuka na rafiki wa mume wake akapata ujauzito na kuzaa mtoto wa 3

Sasa anasema toka ajifungue mtoto ana miezi 7 sasa mume wake hajawahi kusex naye wala kuongea naye ila wanaishi tu na kutoa matunzo kama kawaida

Mwanaume yupo bize na kazi na wale watoto wengine

Sasa anaona kama mume amehisi kitu na yeye anaogopa kusema hajui pa kuanzia wapi na anaogopa ndoa yake kuvunjika

Aendelee kuishi hivo hivo akiumia au amweleze ukweli ijulikane live? Download IYEF Social app on Google playstore and get more updates.

Share

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *