“Alijaribu Kuovertake Gari” Kenyatta University Accident Survivor Speaks

0

KENYATTA UNIVERSITY SURVIVOR SPEAKS.
“Tukianza safari from Nairobi everything ilikua poa and we were all smiling. Tukaenda poa all through but wakati tulifika Voi tulipata mvua inanyesha.

Na hapo driver watu hakua anaenda na speed ya juu ilikua tu normal speed,pole pole. Tukafika Voi hapo ndo alijaribu kuovertake gari. On the process ya kuovertake ndo kukatokea na hiyo trailer mbele yetu, kumbe alikua ameovertake vibaya, trailer ikatoka mbele na ilikua zigongane head on collision, but driver wetu akahepa kwa line yake but juu driver wa trailer alikua amelose control alifuata bus na bahati mbaya akaifikia na side ya nyuma, akaigonga na huko nyuma ndo watu waliumia sana juu ndo gari iligongwa.

Hata mimi nilikua nimevaa belt lakini nilijipata nimerushwa nje na hata i guess hiyo ndo ilinisaidia.” This is one of the Kenyatta university students mwenye alikua on that bus ilifanya accident just the other day. 11 students were confirmed dead while several walikua na injuries. So sad may the souls of the departed ones rest in peace and quick recovery to the injured ones. Pole sana

Share

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *