-OGOPA MWANAMKE muongeaji sana.. Ukiongea neno moja yeye hujibu maneno kumi na kuendelea, Huyu hata akikosea jambo ukimuelewesha hatoelewa na ni mwepesi kubishana na wewe hata kama utakuwa unamelekeza katika haq.
-OGOPA MWANAMKE anayependa kujisifu sana juu ya uzuri wake, huyu pia mara nyingi si msikivu ndani ya ndoa yake na ni rahisi kuomba talaka bila ya sababu akiamini yeye ni mzuri na anapendwa na wanaume wengi hivyo huwezi kumbabaisha.
-OGOPA MWANAMKE mwenye kujifanya mjuaji sana.. Ukimuelekeza jambo la ukweli hulitafutia sababu ya kukufanya uonekane kuwa unalomuelekeza si la muhimu kwake na hujiona kuwa yeye anajua zaidi kuliko wewe..
-OGOPA MWANAMKE ambaye ana fikra potofu za haki sawa kwa wote (Yaani 50 kwa 50) kwamba yaani anaamini kuwa naye ana haki ya kufanya lolote kama wewe mume na haijalishi kuwa umeridhia au laa.. Huyu hatokupa nafasi kama mume na hutaka kuyafanya maamuzi yake ndo yawe ya mwisho katika majambo..
-OGOPA MWANAMKE asiye na Hofu na ALLAH.. huyu huwa ni mbaya zaidi na si mlezi mzuri wa watoto katika kuwaelekeza katika maadili mema.. Huweza kufanya lolote bila kujali ni lenye kumpatia madhambi au laa..
-OGOPA MWANAMKE yule mwenye kupenda kujipamba kwa ajili ya wanaume wengine, anayependa kuuonesha uzuri wake kwa wanaume na mwenye kujiona..
Aina hizi za wanawake na nyinginezo pia huweza kukufanya uikose tamu ya ndoa pindi uwaoapo kutokana na tabia zao na mwenendo wao usiopendeza…
CHAGUA MWANAMKE ALIYE BORA NA SI BORA MWANAMKE..
UTAPATA RAHA NA FURAHA NA UTAONJA LADHA NA TAMU YA NDOA YAKO.𝗠𝗨𝗢𝗚𝗢𝗣𝗘 𝗠𝗪𝗔𝗡𝗔𝗠𝗞𝗘 𝗠𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗧𝗔𝗕𝗜𝗔 𝗛𝗜𝗭𝗜
-OGOPA MWANAMKE muongeaji sana.. Ukiongea neno moja yeye hujibu maneno kumi na kuendelea, Huyu hata akikosea jambo ukimuelewesha hatoelewa na ni mwepesi kubishana na wewe hata kama utakuwa unamelekeza katika haq..
-OGOPA MWANAMKE anayependa kujisifu sana juu ya uzuri wake, huyu pia mara nyingi si msikivu ndani ya ndoa yake na ni rahisi kuomba talaka bila ya sababu akiamini yeye ni mzuri na anapendwa na wanaume wengi hivyo huwezi kumbabaisha..
-OGOPA MWANAMKE mwenye kujifanya mjuaji sana.. Ukimuelekeza jambo la ukweli hulitafutia sababu ya kukufanya uonekane kuwa unalomuelekeza si la muhimu kwake na hujiona kuwa yeye anajua zaidi kuliko wewe..
-OGOPA MWANAMKE ambaye ana fikra potofu za haki sawa kwa wote (Yaani 50 kwa 50) kwamba yaani anaamini kuwa naye ana haki ya kufanya lolote kama wewe mume na haijalishi kuwa umeridhia au laa.. Huyu hatokupa nafasi kama mume na hutaka kuyafanya maamuzi yake ndo yawe ya mwisho katika majambo..
-OGOPA MWANAMKE asiye na Hofu na ALLAH.. huyu huwa ni mbaya zaidi na si mlezi mzuri wa watoto katika kuwaelekeza katika maadili mema.. Huweza kufanya lolote bila kujali ni lenye kumpatia madhambi au laa..
-OGOPA MWANAMKE yule mwenye kupenda kujipamba kwa ajili ya wanaume wengine, anayependa kuuonesha uzuri wake kwa wanaume na mwenye kujiona..
Aina hizi za wanawake na nyinginezo pia huweza kukufanya uikose tamu ya ndoa pindi uwaoapo kutokana na tabia zao na mwenendo wao usiopendeza…
CHAGUA MWANAMKE ALIYE BORA NA SI BORA MWANAMKE..
UTAPATA RAHA NA FURAHA NA UTAONJA LADHA NA TAMU YA NDOA.