‘Superman the simp and male feminist’ seen in viral video running to rescue a woman during Bodaboda fare fight finally speaks – ” “Mwanaume mwenye anapiga dem ngumi anafaa kuchukuliwa hatua Kali.
Huyu dem niliamkia kumsaidia juu anaeza kua sistangu, kesho pia yeye anaeza niokolea mahali. mimi niliamka tu asubuhi kupika chai nkaona watu wamejaa hapo nje, kusogea karibu nikaona huyo dem anapokea maviding nkaenda kusaidia bila kujua ngori ni gani ndo ao wasee wa boda wakanibeba.” He says






