Kwa miaka mingi, nilikuwa mfungwa ndani ya chumba changu mwenyewe. Sikuwa nimefungwa kwa kamba, bali kwa uraibu uliokula nafsi yangu taratibu.”Jina langu ni Aisha kutoka Arusha, Tanzania.
Kwa nje, nilionekana mwanamke mrembo, mwenye kazi nzuri na maisha ya kuvutia. Lakini pindi nilipofunga mlango wa nyumba yangu, niligeuka kuwa mtumwa. Tangu nikiwa mdogo, nilijikuta nimenaswa kwenye uraibu wa kuangalia picha na video za ngono (ponografia) na kujichua.
Hili lilikuwa giza nene ambalo hakuna aliyelijua. Uraibu huu uliharibu kabisa uwezo wangu wa kupenda na kupendwa. Kila nilipojaribu kuanzisha mahusiano na mwanaume, yaliingia dosari.
Hakuna mwanaume aliyeweza kunitosheleza kitandani kwa sababu akili yangu ilikuwa imeharibiwa na vitu visiyo halisi nilivyokuwa nikitazama kwenye simu. Hali hii ilileta dharau, majibizano makali, na mwishowe kuachwa. Nilijiona mchafu, mpweke, na asiye na thamani.
Nilijaribu kila njia. Nilienda kwa wanasihi (counselors), nilisoma vitabu vya kisaikolojia, na hata kujaribu kuacha kwa nguvu zangu, lakini “kiu” ile ilikuwa kubwa kuliko uwezo wangu. Nilipoteza matumaini ya kuwa na familia yenye furaha.
Siku moja, nikiwa nimekata tamaa kabisa, nilimfungukia rafiki yangu wa karibu huku nikilia. Hakunihukumu. Badala yake, alinitajia jina ambalo lilibadilisha maisha yangu: Daktari Magongo.
Aliniambia kuwa Daktari Magongo ni daktari wa kienyeji mwenye karama ya kipekee ya kutatua matatizo sugu ambayo hospitali na ushauri wa kizungu vimeshindwa. Ingawa nilikuwa na hofu mwanzoni, niliamua kujaribu.






