𝐀yana 17th Dec Written Updates

P𝐀𝐑𝐓 𝟏
Robert alikua kwa call na Saida anamwambia wee,unataka niache kazi zangu nitafute Asha,unajua hiyo haiezi work bwana. Punde si punde, Annaliza akakuja,akauliza Robert,umeongea na Tyrone? Robert akamwambia zii, kwani yuko? Ann akamwambia yafaa tuwe na meeting but hajashow up. Sisi tunajua Tyrone ako police.

Huku police,Sabina anaangalia Jemimah anaona apana huyu mama hamuamini kabisa, Punde si punde, Ray akamcall Jemimah akamwambia yafaa akujie hizi pesa ni risky sana wakikaa nazo. Jemimah akamwambia relax,ngoja mambo yatulie.

Huku Sabina na Saida wamengoja Tyrone atoke,huku Saida anawaambia iam sure na najua Tyrone sana haezi fanya kitu kama hiyo. Tyrone alitoka akawaambia guys iam innocent huyu mubabaz ni hasira tu ju my daughter dumped me.

Chris na yeye akauliza Jemimah,nilikuona kwa Tyrone ulikua unafanya nini? Jemimah akasema ni kuona Tinah,she wanted to see me and she apologized. Chris hana habari kikulacho ni chenye huwa anakula.

Report ilifikia Robert kuhusu venye Chris alisema Tyrone alituma goons kumuibia but all in all hakuna evidence hataa.

READ Also  After catching my wife cheating, I never thought forgiveness could bring peace like this again

Asha maisha inashika sana..kashaambiwa kasiwe kakienda kazini,yeye akae,afagie nyumba na alale Ray aende kazini. Lakini wakati anafagia fagia,aliona kitu kwa carrier bag akashindwa hii ni nini…kutoa,akashtuka hadi akatupa. Makosa sana.

Jemimah alikuja akameet akina Ray na AL akawaaambia,mnaeza toa cut yenu but mkae mkijua najua pesa mliiba so msijaribu hata noti moja tutakosana vibaya sana.

Asha aliamua kumcall Beka ju ako na number yake. Beka akashika akishindwa hii new number ni ya nani..lakini alisikia tu sauti akajua ni Asha. Akamuuliza wee uko wapi Asha, uko wapi? Asha akamuuliza mamangu yuko aje? Beka akamwambia mama hayuko sawa,na hukufanya vizuri kabisa kuenda,mamako analia sana kila siku.

Asha aliuliza Beka, mnaona kama nilifanya makosa kutoroka kwa sababu nimechanganyikiwa sana. Beka akamwambia Asha,kama unataka msaada niambie hata kama hutaki wazazi wako wajue. Asha alimwambia tu,tafadhali usiambie mtu tumeongea na usalamie mamangu. Kumbe Tinah alisikia Beka wakiongea kwa simu, Asha anaregret ju anajua, she made a mistake kuhepa na Ray.

READ Also  Eulogy For Beryl Odinga By Paul Ambala, Grandson Of Otieno Ambala

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐
Tinah alikuja akauliza Beka umekua unaongea na nani? Beka kajigoroka kiasi kiasi but Tinah already ashajua ni Asha. All in all Tinah alipigiwa simu mzigo wake wa Gikomba ushafika.

Kazini kawaida, Robert anajituma sana kwa Annaliza,hadi Anna akauliza akamuuliza, mbona kila saa unakuja kuniangalia and inviting me for dinner,what exactly unataka I hope si kujaribu kudinyadi wewe? 😂😂Robert akamwambia tulia, just dinner I promise hakun akitu tutafanya.

Tinah ashapata manguo zake yafaa auze hadi Beka akamwmabia manze jamaa anakuuzia hizi manguo anakupea mzuri mzuri sana,yafaa umshikilia. Tinah akamwambia hata babake anampea support sana. Beka akamwambia heri wewe wazazi wazuri,sisi wengina hatukubahatika kuwa na wazazi. Tinah akamuuliza unamaanisha aje? Beka akamwambia ni venye sisi wengine wazazi wetu hawakutu….kabla amalize,akaona Saida anawasikiza 😂😂😂

Beka alimfuata Saida ju kuna ujumbe yafaa ampee kutoka kwa Asha,lakini makosa Beka alifanya ni,aliacha simu yake hapo,Tinah akachukua simu ya Beka,akatoa ile number yenye Asha alitumia kumcall akaweka kwa simu yake.

READ Also  Jinsi ya kuwa tajiri na kuishi maisha ya kifahari bila kufanya kazi ngumu – mfanyabiashara mkubwa Kampala afichua siri

Beka alikuja akaambia Saida,unajua nimeongea na Asha? Saida akamwambia usitaje jina la mtoto wangu wakati wewe ndo ulisababisha..Beka akamwambia nimeongea na yeye na alikua analia akisema anajutia sana. Saida akajua mara moja lazima huyo kijana amefanyia Asha wake kibaya…akaambia Beka nipe ile number. Hapo ndio Beka akarealize simu aliacha penye Tinah alikua.

Saida na Beka wakakuja kuangalia ile number kwa simu ya Beka lakini kumbe,wakati Tinah alichukua ile number kwa simu ya Beka,she deleted it,,so Beka hana number sasa but Tinah yuko nayo 😂😂😂

Tinah alikuja akacall ile number,akaambia Asha sikiza, hata kama hutaongea. Huku ushasahaulika na hata mamako haezi taka kusikia jina lako likitajwa,so ningekua wewe singewai rudi huku… Tinah anaongea huku Asha anasikiza tu. Tinah akamwambia sikiza, stay away from us. Asha akamuuliza hii number umetoa wapi? Tinah akamwambia usikue mjinga,si umecall Beka na hapo ndio amenipea number,tumia akili….mako!..makosa.

Milton

Professional IT expert and experienced news writer/ online marketing expert

Related Posts

Why Does Netanyahu Cover His Phone Camera?

Many noticed that the Israeli Prime Minister’s phone lens is completely taped over — raising big questions about privacy and digital surveillance. If even world leaders take such precautions, what…

Read more

  • MiltonMilton
  • News
  • January 28, 2026
  • 6 views
  • 2 minutes Read
Process Of Removing Dad’s Name From Birth Certificate Of A Child

How to prove this sometimes is very difficult. There is a court order giving the mother sole custody and parental responsibility. Proving this could make the process faster. When courts…

Read more

You Missed

Why Does Netanyahu Cover His Phone Camera?

  • By Milton
  • January 28, 2026
  • 6 views
Why Does Netanyahu Cover His Phone Camera?

Process Of Removing Dad’s Name From Birth Certificate Of A Child

  • By Milton
  • January 28, 2026
  • 6 views
Process Of Removing Dad’s Name From Birth Certificate Of A Child

School Head Teacher Caught Red-Handed Cheating With His Secretary

  • By Milton
  • January 28, 2026
  • 8 views
School Head Teacher Caught Red-Handed Cheating With His Secretary

How to Remove Bad Luck That Keeps Following You Everywhere You Go

  • By Milton
  • January 28, 2026
  • 8 views
How to Remove Bad Luck That Keeps Following You Everywhere You Go

Strategy You Can Use To Make Your Children Bright in Class

  • By Milton
  • January 27, 2026
  • 14 views
Strategy You Can Use To Make Your Children Bright in Class

Mbarara Man Breaks Down, Cries After Discovering That The Child He Raised And Paid University Fees For Is Not Biologically His

  • By Milton
  • January 27, 2026
  • 16 views
Mbarara Man Breaks Down, Cries After Discovering That The Child He Raised And Paid University Fees For Is Not Biologically His