𝐀yana 17th Dec Written Updates

P𝐀𝐑𝐓 𝟏
Robert alikua kwa call na Saida anamwambia wee,unataka niache kazi zangu nitafute Asha,unajua hiyo haiezi work bwana. Punde si punde, Annaliza akakuja,akauliza Robert,umeongea na Tyrone? Robert akamwambia zii, kwani yuko? Ann akamwambia yafaa tuwe na meeting but hajashow up. Sisi tunajua Tyrone ako police.

Huku police,Sabina anaangalia Jemimah anaona apana huyu mama hamuamini kabisa, Punde si punde, Ray akamcall Jemimah akamwambia yafaa akujie hizi pesa ni risky sana wakikaa nazo. Jemimah akamwambia relax,ngoja mambo yatulie.

Huku Sabina na Saida wamengoja Tyrone atoke,huku Saida anawaambia iam sure na najua Tyrone sana haezi fanya kitu kama hiyo. Tyrone alitoka akawaambia guys iam innocent huyu mubabaz ni hasira tu ju my daughter dumped me.

Chris na yeye akauliza Jemimah,nilikuona kwa Tyrone ulikua unafanya nini? Jemimah akasema ni kuona Tinah,she wanted to see me and she apologized. Chris hana habari kikulacho ni chenye huwa anakula.

Report ilifikia Robert kuhusu venye Chris alisema Tyrone alituma goons kumuibia but all in all hakuna evidence hataa.

READ Also  Total Number Of Registered Voters In Tanzania

Asha maisha inashika sana..kashaambiwa kasiwe kakienda kazini,yeye akae,afagie nyumba na alale Ray aende kazini. Lakini wakati anafagia fagia,aliona kitu kwa carrier bag akashindwa hii ni nini…kutoa,akashtuka hadi akatupa. Makosa sana.

Jemimah alikuja akameet akina Ray na AL akawaaambia,mnaeza toa cut yenu but mkae mkijua najua pesa mliiba so msijaribu hata noti moja tutakosana vibaya sana.

Asha aliamua kumcall Beka ju ako na number yake. Beka akashika akishindwa hii new number ni ya nani..lakini alisikia tu sauti akajua ni Asha. Akamuuliza wee uko wapi Asha, uko wapi? Asha akamuuliza mamangu yuko aje? Beka akamwambia mama hayuko sawa,na hukufanya vizuri kabisa kuenda,mamako analia sana kila siku.

Asha aliuliza Beka, mnaona kama nilifanya makosa kutoroka kwa sababu nimechanganyikiwa sana. Beka akamwambia Asha,kama unataka msaada niambie hata kama hutaki wazazi wako wajue. Asha alimwambia tu,tafadhali usiambie mtu tumeongea na usalamie mamangu. Kumbe Tinah alisikia Beka wakiongea kwa simu, Asha anaregret ju anajua, she made a mistake kuhepa na Ray.

READ Also  Amount Of Money That Makueni Governor Mutual Kilonzo Will Get From A DNA Case

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐
Tinah alikuja akauliza Beka umekua unaongea na nani? Beka kajigoroka kiasi kiasi but Tinah already ashajua ni Asha. All in all Tinah alipigiwa simu mzigo wake wa Gikomba ushafika.

Kazini kawaida, Robert anajituma sana kwa Annaliza,hadi Anna akauliza akamuuliza, mbona kila saa unakuja kuniangalia and inviting me for dinner,what exactly unataka I hope si kujaribu kudinyadi wewe? πŸ˜‚πŸ˜‚Robert akamwambia tulia, just dinner I promise hakun akitu tutafanya.

Tinah ashapata manguo zake yafaa auze hadi Beka akamwmabia manze jamaa anakuuzia hizi manguo anakupea mzuri mzuri sana,yafaa umshikilia. Tinah akamwambia hata babake anampea support sana. Beka akamwambia heri wewe wazazi wazuri,sisi wengina hatukubahatika kuwa na wazazi. Tinah akamuuliza unamaanisha aje? Beka akamwambia ni venye sisi wengine wazazi wetu hawakutu….kabla amalize,akaona Saida anawasikiza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Beka alimfuata Saida ju kuna ujumbe yafaa ampee kutoka kwa Asha,lakini makosa Beka alifanya ni,aliacha simu yake hapo,Tinah akachukua simu ya Beka,akatoa ile number yenye Asha alitumia kumcall akaweka kwa simu yake.

READ Also  Ayana 16th Dec Written Updates

Beka alikuja akaambia Saida,unajua nimeongea na Asha? Saida akamwambia usitaje jina la mtoto wangu wakati wewe ndo ulisababisha..Beka akamwambia nimeongea na yeye na alikua analia akisema anajutia sana. Saida akajua mara moja lazima huyo kijana amefanyia Asha wake kibaya…akaambia Beka nipe ile number. Hapo ndio Beka akarealize simu aliacha penye Tinah alikua.

Saida na Beka wakakuja kuangalia ile number kwa simu ya Beka lakini kumbe,wakati Tinah alichukua ile number kwa simu ya Beka,she deleted it,,so Beka hana number sasa but Tinah yuko nayo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Tinah alikuja akacall ile number,akaambia Asha sikiza, hata kama hutaongea. Huku ushasahaulika na hata mamako haezi taka kusikia jina lako likitajwa,so ningekua wewe singewai rudi huku… Tinah anaongea huku Asha anasikiza tu. Tinah akamwambia sikiza, stay away from us. Asha akamuuliza hii number umetoa wapi? Tinah akamwambia usikue mjinga,si umecall Beka na hapo ndio amenipea number,tumia akili….mako!..makosa.

Milton

Professional IT expert and experienced news writer/ online marketing expert

Related Posts

Lamine Yamal Has Never Lost To Kylian Mbappe In A Knockout Match

Lamine Yamal has 𝐍𝐄𝐕𝐄𝐑 π‹πŽπ’π“ to Kylian MbappΓ© in a knockout match. βœ… EURO semi-final – 2024βœ… Supercopa final – 2025βœ… Copa del Rey final – 2025βœ… Nations League semi-final…

Read more

U.S. Naval Blockade On Iran Takes Effect

The U.S. naval blockade targeting Iranian ports and oil facilities has officially entered into force, according to previous announcements by U.S. Central Command (CENTCOM). U.S. and allied naval forces have…

Read more

You Missed

Lamine Yamal Has Never Lost To Kylian Mbappe In A Knockout Match

  • By Milton
  • July 14, 2026
  • 7 views
Lamine Yamal Has Never Lost To Kylian Mbappe In A Knockout Match

U.S. Naval Blockade On Iran Takes Effect

  • By Milton
  • July 14, 2026
  • 7 views
U.S. Naval Blockade On Iran Takes Effect

A Man Drove The Same Car For 15 Years Trying To Reach 1,000,000 Kilometres

  • By Milton
  • July 14, 2026
  • 7 views
A Man Drove The Same Car For 15 Years Trying To Reach 1,000,000 Kilometres

A Tanker Was Struck By A Missile Off The Coast Of Oman

  • By Milton
  • July 14, 2026
  • 9 views
A Tanker Was Struck By A Missile Off The Coast Of Oman

Why Since 2018, Kylian Mbappe’s Hasn’t Touched A Single Salary

  • By Milton
  • July 14, 2026
  • 11 views
Why Since 2018, Kylian Mbappe’s Hasn’t Touched A Single Salary

Details Of France Vs Spain Semifinal

  • By Milton
  • July 14, 2026
  • 10 views
Details Of France Vs Spain Semifinal