Eden was married by Mike Sonko’s daughter, Salim and Sonko provides everything. Sonko analipa rent, anawafanyia shopping every month,anasomesha watoto wao and to add on it,Sonko aliwanunua gari Range Rover Vogue imagine. Like Eden kwa hii relation the only medicine anapeana na dicklofenack but everyuthing else Sonko anafanya.
After all that,Eden akampiga bibi yake,ambaye ni mtoto wa Mike Sonko…heeee! Alikujiwa kama umeme and from Sonko’s video si mara moja jamaa amezoea sana kupiga huyu dem. Yani unalishwa upae nguvu za kupiga mwenye anakulisha surely.
Sonko has taken his daughter na watoto na akaambia jamaa kama nataka bibi yake aende na wazazi wake wasolve na imagine akaambiwa tena aende na ile gari yenye Sonko aliwanunulia.
We need a father like Mike Somko unapioga mtoto wake, security wa Sonko anakufunika kofi.





