
𝐒𝐀𝐊𝐀 𝐀𝐕𝐔𝐍𝐉𝐀 𝐑𝐄𝐊𝐎𝐃𝐈 𝐈𝐋𝐈𝐘𝐎𝐃𝐔𝐌𝐔 𝐊𝐖𝐀 𝐌𝐈𝐀𝐊𝐀 (87)
Nyota wa timu ya taifa ya Uingereza na klabu ya Arsenal Bukayo Saka amevunja rekodi iliyodumu kwa miaka takribani (87) kwenye timu ya taifa ya Uingereza.
Saka anakuwa Mchezaji wa Arsenal aliyefunga mabao mengi zaidi ngazi ya timu ya taifa ya Uingereza, mabao (13) na kuvunja rekodi iliyowekwa na Gwiji wa zamani wa Arsenal Cliff Bastin mnamo mwaka 1938.