
Golikipa wa zamani Tim Howard:
“Chelsea watamkumbuka Madueke kwasababu wamesajili wachezaji wengi wadogo.
Madueke hakutakiwa kuondoka, wamekosea na lazima wakubali hilo.
Kila mtu anajua Saka ndiyo mchezaji bora katika timu ya Arsenal, lakini kwasasa akikosekana uwanjani, hakuna tatizo, Madueke anaweza kucheza na akafanya vizuri”.