Tomorrow’s Neema Updates


Hurray! How was your valentine’s day! I hope ulifurahia alafu wakuu.
Ukimalia tu kusoma please, download M News app from the playstore.
𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
Mark, Cate na Sharon wakienda Sharon aliuliza Mark kama anaeza ongelesha Dan kuhusu Val lakini Mark akili iko mbaliiiii na Sharon akanotice,akamuuliza kwani kuna shida umekosa na Neema aje? Mark akamwambia hakuna issue lakini Sharon akamwambia sikiza, I just lost my memory not my mind na kama kuna kitu yafaa nikuambie,fanya chenye unaeza fanya huyo kiwete atoke kwa life ya Neema,ju wewe na Neema look good together 😍😍😍
Sharon anaimbia Mark, take good care of your wife or else,Alphonse atapita na yeye. Hata kama Sharon ni nusu wazimu,she gat sense.
Dan amemshika Val ametoka na yeye anamlazimisha kuenda watafute marriage cert ya Val. Val hataki lakini babake ni umeme,anamwambia kwanza una bahati ulienda club na sijakuchapa. Val hana otherwise…
Mark alimtafuta Richard akamwambia wueh,jana tuliargue na Neema. Nilirudi jana nyumbani hakua,kumbe alikua ameenda party ya Alphonse na kumuuliza akakuja juu sana akisema sina right ya kumuuliza. Richard alishangaa sana akamwambia hii maneno yote,ni huyu jamaa Alphonse but Mark akamwambia I warned her,nilimwambia huyu kiwete si wa kuaminika but nikama hanisikii.
Naomi ashafika kwenye akina Rachael na Alphonse na already ashaambia Rachael venye Mark na Dr. Cliff walikosana. Rachael anamjua sana Cliff na anashangaa sana wakosane aje na venye walikua mabeshte kuruka..kuna venye Rachael ameanza kufeel weird na hawa watu hadi anataka tu kuenda.
Happy Valentine’s day Tom na Cate. Wamekuja out kujibamba shortly na hata ball ya Cate,mtoto ashaanza kukick. Tom anaenjoy,mbaya mbovu.
Rachael aliomba kutoka na Naomi akamuoffer ride kumpeleka airport kwa gari lake. Sasa Naomi,alianza kuuliza Rachael maswali za ujinga hadi anamuuliza kuhusu watoto wake but Rachael anamwambia I don’t answer personal questions…kisha Rachael akamuuliza,how best do you know Mark? Naomi akamwambia ni Neema, ni beshte yangu mkubwa sana na ni yeye aliniambia kuhusu Mark…kisha Naomi akaamua kupull out the card,akaambia Rachael venye amejua Mark,he never look back to his past na ungemjua zaidi kumhusu sai,najua hungemtrust. Hii ni kazi ya Naomi kumfanya Rachael atafute Mark kumjua zaidi na akiendelea kutafuta Mark,Neema atakua anajidistance na Mark na hivi ndio Naomi na Alphonse wanataka.
𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐
aah Hapa kunaendaje tena…Babu na Isabelle wakitembea sokoni, Isabelle alikataa asishikwe mkono na Babu hadi Babu akamuuliza babe wangu,rada shida ni gani? Isabelle akamwambia unajua hatujaoana officially,so si vizuri kushikana shikana mkono..Babu alielewa na akamwambia tukishaoana hivi,nitakua nakushika mkono kila pahali unaenda.
Salome akiwa ametulia tu,,alipigiwa simu kutoka kwa insurance company kuhusu kuna complain…akauliza ipi hiyo? Akaambiwa kuna kijana anaitwa Jayden Baraza ameleta complain about accident. Salome kwanza akashtuka,ndio sasa inamhit,mwenye aligongwa kwa ajali,ni Jayden.
Mark na yeye alimkuta Alphonse,akamuuliza ni games gani unaplay,na nilikuwarn..kutaenda vibaya lakini Alphonse alimwambia sikiza,Iam in love with Neema and for you,you need to mind your business na ujue venye utakutana na Joseph your son. Wueh! Mark ndio anashindwa hizi zoote huyu jamaa alijulia wapi hana idea ni Rachael alimwambia.
Mark akiwa hapo na Alphonse,Neema alikuja,kumbe ashanunua gari. Alphonse alimcongratulate sana but cheki,Mark kuambia Neema congratulations,Neema alijibu tu hafifu hafifu. Yani Neema tu,sijui mbona anadharau Mark hivi.
Kumbe Sharon aliwaona,akakuja akaambia Alphonse sikiza,ju unaona uko na pesa unadhani unafikia Mark sindio? Mark is better than you a hundred times ju ako na roho safi,wewe kitu uko nayo ni pesa tu but roho chafu kama shosho wa…Mark akamwambia yooh,usiseme hivi,relax. Sharon alimpasha Alphose,mbaya mbovu.
Mark alikuja akamcall Naomi akamwambia I want some favour kiasi kutoka kwako,huyu Alphonse amekuja sana na Neema and he keeps hitting on Neema lakini chenye Mark hajui,Naomi are working hand in leg with Alponse.
Neema ashapata gari na sasa website yake pia ishakua published with the help of Alphonse. Alphonse alikuja akaambia Neema,unaonaje hata ufungue boutique? Neema akamwambia for now hana pesa za hiyo but Alpho alimwambia I can chip in nikupe push. Alphonse akamwambia na hivi ndio nilikua naambia Rachael jana,wewe ni mwanamke mzuri sana. Neema akamuuliza kwani Rachael bado yuko? Alphonse akamwambia yeah,alidelay flight ndio akutane na Mark kwanza ju Mark is very lucky. Neema akakafeel kiasi…
Alphonse alikua ameitisha kahawa kutoka kwa Paul but Sharon kuona Paul akamwambia nipee hii chai nipelekee Alphonse….Sharon nia yake haikua kumpea Alpho kahawa,alitaka kumwagilia. Mwanaume alisamburuka tumbo,mbaya mbovu😂😂😂Sharon anajifanya ni by mstake but it was intentional kumchoma Alphonse.
Salome alimngoja Jayden akitoka shule waongee but Jayden alimwambia sina time ya kuongea na wewe. Kisha kuna alama Jayden ako nayo hadi Salome akamuuliza kama aliumia sana kwa ajali. Jayden akamuuliza ulijuaje? Salome akamwambia nilipigiwa simu na insurance. Jayden akamwambia I see, that was your son nikama you didn’t raise him well. Salome akamwambia please dont judge me…Jayden akamuuliza why not..I saw the letter uliachia babangu na nashukuru sana kukutana na Baraza as my dad, he is the best in the world. Jayden aliondokea Salome akamuacha hapo akilia lia. Mkuki kwa Pauloh,kwa Jamal pia mtamu. Hapo sijui nani ngurue! Judge for yourself.
Have a lovely lovely Night.
Usisahau kunipea push ya Follow tufike 10K by Monday.

Ad 2
Ads: Click image 👆 & Download M News

  • Mil

    I'm content creator, Web/android developer, IT specialist, digital marketer and super Admin. Reach out for any inquiry: info@milton.co.ke

    Related Posts

    Before you package yourself as a freelancer, Know This

    Before you package yourself as a freelancer, let me give you one solid piece of advice: pick a fight you can actually win. A few years ago, I found myself…

    Read more

    The Danger of Chasing ‘Marketable Courses’ in Universities

    The Danger of Chasing ‘Marketable Courses’ in Universities For years, students have been told to choose “marketable courses” like IT, accounting, or engineering to secure jobs. But success isn’t about…

    Read more

    Leave a Reply

    Leave a Reply

    Your email address will not be published. Required fields are marked *

    You Missed

    Before you package yourself as a freelancer, Know This

    • By Mil
    • February 20, 2025
    • 2 views
    Before you package yourself as a freelancer, Know This

    The Danger of Chasing ‘Marketable Courses’ in Universities

    • By Mil
    • February 18, 2025
    • 4 views
    The Danger of Chasing ‘Marketable Courses’ in Universities

    Subject: New Job Opportunities In Qatar

    • By Mil
    • February 18, 2025
    • 6 views
    Subject: New Job Opportunities In Qatar

    Total Amount Of Money That President Ruto’s Government Borrowed Daily

    • By Mil
    • February 17, 2025
    • 10 views
    Total Amount Of Money That President Ruto’s Government Borrowed Daily

    how to Build a Homemade Egg Incubator Using a Water Bottle

    • By Mil
    • February 17, 2025
    • 8 views
    how to Build a Homemade Egg Incubator Using a Water Bottle

    Police Officers to be recruited this year 2025

    • By Mil
    • February 16, 2025
    • 12 views
    Police Officers to be recruited this year 2025

    Tomorrow’s Neema Updates

    • By Mil
    • February 16, 2025
    • 16 views
    Tomorrow’s Neema Updates

    SUNDAY 16th FEBRUARY 2025 FIXTURES

    • By Mil
    • February 16, 2025
    • 11 views
    SUNDAY 16th FEBRUARY 2025 FIXTURES

    English Premier League Results

    • By Mil
    • February 15, 2025
    • 13 views
    English Premier League Results

    President Ruto’s Statement After Raila Odinga’s AUC Lose

    • By Mil
    • February 15, 2025
    • 13 views
    President Ruto’s Statement After Raila Odinga’s AUC Lose

    “Congratulations Raila” Denis Itumbi

    • By Mil
    • February 15, 2025
    • 14 views
    “Congratulations Raila” Denis Itumbi

    Details Of AUC Race, Rules For Candidate To Win

    • By Mil
    • February 15, 2025
    • 18 views
    Details Of AUC Race, Rules For Candidate To Win

    ZNS Engineers Make Progress In Constructing 9KM Detour On Great East Road

    • By Mil
    • February 15, 2025
    • 9 views
    ZNS Engineers Make Progress In Constructing 9KM Detour On Great East Road

    AUC Update: President William Ruto Meets Raila Odinga This Morning At Addis Ababa

    • By Mil
    • February 15, 2025
    • 12 views
    AUC Update: President William Ruto Meets Raila Odinga This Morning At Addis Ababa

    Today’s Premier League Fixtures

    • By Mil
    • February 15, 2025
    • 13 views
    Today’s Premier League Fixtures

    Finsco Africa Expands to Tanzania, Unlocking New Real Estate Opportunities

    • By Mil
    • February 14, 2025
    • 12 views
    Finsco Africa Expands to Tanzania, Unlocking New Real Estate Opportunities

    House girl alitandika kitanda cha boss wake kama moja ya majukumu yake, Alipomaliza akakitazama kisha akasema

    • By Mil
    • February 12, 2025
    • 13 views
    House girl alitandika kitanda cha boss wake kama moja ya majukumu yake, Alipomaliza akakitazama kisha akasema

    Britam General Insurance Pays KES 71 million Fire Claim to Limuru Country Club

    • By Mil
    • February 12, 2025
    • 16 views
    Britam General Insurance Pays KES 71 million Fire Claim to Limuru Country Club