
Pπππ π
Neema alikuja kuuliza Cate kama amepigiwa simu na Mark ju its getting late na hajakuja but Cate akamwambia not yet,. Kisha Cate akaambia Neema, for real Mark anakupenda,nijifungue haraka niende niwape you guys privacy lakini Neema akamwambia yoh, siko sure kama ananipenda. Cate akamwambia ooh,unapendwa mamaa,kaa ukijua hivyo Neema akajipata akismile tu.
Neema hadi akajiona akiday dream..ati sasa wameshikana na Mark wakidance into low music wakiangaliana kwa mapenzi huku anamlalia kwa kifua. Hii sasa ni Neema anaimagine si ati ni kitu real.
Rachael baadaye alipigiwa simu na Alphonse na akamuuliza kama walimeet? Rachael akamwambia yeah we met na nikamwambia kila kitu even though he didn’t react on anything. Alphonse akamwambia usijali,soon he will take you in. Rachael akamwambia shida anasema ati he needs timeβ¦Alphose akamwambia sasa ukitaka vizuri,introduce him kwa mtoto wenu,trust me hatakuacha. Alphonse,hafanyi hivi ju anamsaidia Rchael,anafanya hivi ju anataa Mark andokee Neemaπ€£π€£π€£
Mark alikuja akapack gari kwa barabara,he is totally confused,hajui aamue vipi,aende na baby mama ama ashikilie kwa new catch Neemaβ¦he has no idea on what to decide.
Dan amerudi nyumbani amewaka kuwakaβ¦anataka kudeal na Val. Alikuja akaambia Val,kesho mipango za harusi zinaanza lakini Val akamwambia dad,mimi sitaki kuolewa na huyo mwanaume lakini Dan alimwambia shut up! Mimi ni babako na mimi ndio kusema..kesho mipango zinaanza. Sharon alikuja akauliza shida ni nini makelele huku? Dan akamwambia wee pia hakuna mwenye amekuita,unless unataka niwatandike nyinyi wote vibaya sana. Just like that,Kevo ameingiza Dan box amuoe Val cha nguvu.
Kisha Dan akatoa rules,akaambia Val sikiza, mambo ni matatu,kwanza hakuna kuenda shule,pili hakuna kuenda pahali bila ruhusa yangu ama ya Kevo na tatu,hakuna kutoka hii nyumba tena,hadi uolewe uende kuishi na Kevoπ₯π₯
Its 11pm, Neema hajalala,amekaa kwa kiti akiwaza tu kuhusu Mark. She is also confused kimpango. Neema anajipata akismile akimuwaza Mark kisha kusikia gari imefika na Mark anakuja,Neema akanyapia nyapia pole pole akakimbia kwa room yakeβ¦hakutaka Mark ampate hapo. Love in denialπ€£π€£π€£π€£kisha Mark kuenda kwa room yake, Neema akamchungulia. Before uende part 2β¦.si unifanyie kafavour uFollow page mpya mkuu @officialsaac
ππππ π
Jayden alikuja kuongea na babake na akamwambia mum alikuja hosi. Baraza akamuuliza na alijuaje? Jayden akamwambia hiyo si muhimu sai,but nilimwambia aende. Baraza akamwambia najua ulienda kwake na akakudisapoint sana. Jayden alimwambia cha maana niko na wewe mzae,huyo sina haja na yeye na hata pia najua alikuja kwa dukaβ¦mliongea nini?
Baraza alifunguka akamwambia mamako alisema aliregret sana chenye alikufanyia. Jayden akasema aje sasa na venye alinifungia mlango. Baraza akamwambia sai ushakua mtu mzima,you can decided what to do, na unaeza amua kuenda kwa mamako as well. Jayden alimwambia tu kitu moja, wewe ndio babangu na wewe ndio mamangu,period!
Isabelle alikuja kwa Sharon morning na Sharon akamwambia sijui kuna nini,Val sai amechukia Kevo sana na venye amekua akiimba kumhusu alafu jana babake alikuja akiwa amejam sana na akamwambia hakuna kuenda shule.
Mark na yeye,alikuja akaambia Neema about jana,na akamwambia aliambiwa vitu mob sana na hajui afanye nini. Neema alimwambia its fine,take as much time as you want.
Dan ameamka pombe zimeisha kwa kichwa akakuja jikoni Sharon anatengeneza breakfast ya nyanya na mayaiβ¦Dan akaanza kusmile akiangalia Sharon,Sharon akamuuliza ni nini unaniangalia angalia hivi,acha kuniguza! Dan anajaribu kuguza Sharon anapewa stopper ingine wazimu. Dan alimwambia yoh,nakumiss but Sharon akamuuliza unamiss aje bibi ulikua unapiga kama ngurue? Dan akamwambia nishachange and you are my favorite candy lakini Sharon akamwambia kama ni mimba unataka KUNIpea sahau..sijui ni nini hii nilioleka nayoπ€£π€£π€£
Sharon aliambia Dan sikiza, kama wewe ni bwangu,then you are my husbandβ¦HAS inamaanisha house and servant na band inamaanisha servant. Husband ni mwanaume wa nyumba wenye anasaidia si ngurue kama wewe.π€£π€£π€£π€£
Babu na Isabelle wamefika kwa duka ya rings wanataka kubuy. Muuzaji akawauliza mnataka size gani ya wanandoa? Babu akasema haya,ni sisi alah,ni mimi na mpenzi wanguπ€£π€£π€£
Karen alimcall Naomi akamwambia Eddy anateseka but Naomi akamwambia it serves him right,acha ateseke but Karen akamwambia usisahau iam in love with him,he is my husbandβ¦Naomi akamwambia infact tutaongea baadaye na leo ndio hearing ya divorce. Karen akamwambia ni sawa nyi achaneni venye mnataka.
Sasa Naomi akaambia Karen sikiza, we have to write something close to what Neema can write tutumie Eddy ndio asiandike ingine.π€£π€£π€£
Nikimalizia malizia,habari njema ni, kama premium sha yako ni mingi na unafeel like hii hutaeza kulipa,guess who is your doctorπ€£π€£π€£yours truly, Nandwa. Number iko kwa bio,changamka nayo tufanye kazi. Nareduce upto 300 monthly premiumβ¦
Leave a Reply