Neema 8th April Written Episode

๐๐€๐‘๐“ ๐Ÿ
Neema ameamkia kazini,anajaribu kufanya mahesabu na anaona mauzo yameenda chini sanaโ€ฆPaul alikuja akaambia Neema,uko hapa na Jojo aligongana na gari? Neema akashtuka akamuuliza kama mwenye aligonga aliumia? Paul akasema zii hakuumia saaanaโ€ฆhuh! Neema kuskia hivyo alimcall Eddy akamwambia wait for me,we need to talk. Neema amejam vibaya sana.

Wakati anatoka,alikutana na Mark..akaambia Mark acha nitafute huyu mwanaume tumalizane na yeye,naona ameanza kunichezea sana. Mark akamuuliza ni kuhusu chenye aliambia boss? Neema akamuuliza kwani ameambia boss nini? Mark akamwambia ameenda akaambia bossy ati bado mko wife na hubby na ati niachane na wewe..Neema sasa ako an sababu mbili muhimu za kudeal na Eddy sasa.

Neema Actor

Huku kwa Barasa,alipata Salome amempakia lunch lakini Baraza akamwambia please dontโ€ฆkisha Barasa akamwambia sikiza, nilikubali ukae hapa ndio mkue na bond na Jayden..Salome akamuuliza so unamaanisha wewe,hutawai nisamehe? Barasa akamwambia ukweli,sina kinyongo na wewe lakini nilikupoteza once na sitaki kukupoteza tena na ilinichukua miaka sana kupona. Sitaki tuwe wapenzi nikupoteze tena chenye nataka ni uwe na bond na mtoto wako. wah..

Ona Eddy sasa,alimuona Neema kwa umbali akamwambia baby wangu kuja sweetie niko hapa. Neema amejam,akafika akauliza Eddy,ni ujinga gani unafanya? Jojo aligongana na hukusema,ukaenda kwa bossy kusema tuko pamoja na hukuniambia,kichwa yako,hii akili ina akili kweli? Neema aliambia Eddy sikiza, hujawai kuwa baba mzuri kwa watoto,only thing you do ni ukipata tupesa ni kuwabuyia vitu ndio wakupende but ujinga wako utakuja kutucost sana..nilikuambia Jojo asishike gari ju hana driving licence hukusikia now see,amegongana na you are here relaxed kama mende imelamba acidโ€ฆna uache kuambiana ati mimi ni wife wako,uache or else nitaambia watoto wako chenye ulifanya na huyo mwanamke tuone kama watawai taka kukuona.

Neema

Amani na yeye aliamkia kumcall Jojo,akamwambia karembo,amka twende kwa farm tupige mapicha..Jojo akamuuliza na wewe ndio nani? Amani akamwambia come on,ni msee uligonga jana,Amani. So Jojo yafaa ameet na Jayden leo na tena yafaa akutane na Amani,acha tuone katabeba kichwa kuenda wapi..

Jayden alikuja akapata mamake akifanya usafi hapo,akamuuliza unafanya nini? Salome akamwambia aah son,nilikua nafanya usafi kiasi..Jayden akamwambia sikiza,the only reason uko hapa ni ya huruma wa babangu,na yoh iam not your son,usiniite son siku ingine,you are not MY MOTHERโ€ฆwuehโ€ฆkubaya huku

Jojo ashaamka ready kuenda kuona Amani,lakini punde si punde akapigiwa simu na Jayden akamuuliza babe,uko home? Jojo akasema yeah,but nataka kutoka kiasiโ€ฆJayden akamwambia nilikua nataka kuja kukuona but Jojo akamwambia aah si sai niko kwa haraka sana maybe tukutane siku ingine ama next year๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

All the way from Mombasa, Karen ashafika Nairobi an hajakuja wka uzuri,akekuja kudeal na Naomi.

Huh! Lakini sasa chei,Olivia akitoka kazini,kuna mtu alikua anatrail pole pole..na hadi alicall Richard,akamwambia babe,kuna jamaa naona kama ananifuata sijui ni nani..lakini kabla Olivia hajamaliza kuongea,alikua ashafikiwa na kisu,akanyang’anywa kila kitu na akaambiwa tu kitu moja,wachana na bwana ya wenyewe.๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ

๐๐€๐‘๐“ ๐Ÿ
Ewee! Ona sasa Jojo na Amani,wamebebana kwa bike wako tu fitiโ€ฆ na kumbe wakiwa kwa barabara,Jojo walipitana na Jayden..Jayden akamuona vizuri sana but Jojo hakumuonaโ€ฆwah! Inaitwa heartbreakโ€ฆ

Jojo alileta Amani hadi kwa Mark waongee na wakiwa hapo Sharon na mamake wakipita wakamuona Amani hapo na Sharon akamuuliza na wewe ndio nani? Amani akajintroduce an kumbe Val na Amani wakawa na ile love at first siteโ€ฆhadi Val anaimagine akiwa na Amani.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Karen amefika,akakutana na beshte wake na akamwambia venye chenye anataka ni Naomi to pay for what she did to her..beshte alimuuliza na Eddy bado mnafendana? Karen akamwambia huyo simtaki tena,I crossed that bridge for good.

Karen alikua anatafuta number ya Alphonseโ€ฆ

Neea alirudi akaambia Mark venye kumeenda na akaambia Mark venye amepasha Eddy..Mark akamwambia basi,I like the woman you are becoming. Punde si punde Jojo na Amani wakafikaโ€ฆNeema akaona jamaa amevaa jacket akamuuliza kama huwa anaendesha bike? Amani akasema yeah na Neema akajoke tu akamwambia usipee Jojo bike huwa anagongana sana..Amani akamwambia yeah hata jana karubu amumalize na hapo ndio Neema akajua ooh,so ni wewe aligonga๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Mark pia wakafanyiana intro na Amani lakini cheki,Amani kusikia tu huyu ndio Mark,alishtuka na akamsalimia kwa wasiwasi sana,kwani Amani ni nani?? Hahaa! Yo didnt see it coming right?????????

Sharon ashafika kwa Mark na wakati anabisha,Kate na Tom walikua wanakula so ikabidi Tom amejisunda kando kiasi ju wanadhani maybe ni mtu mwingineโ€ฆSharon kuingia akauliza Kate,kwani mumekua wangapi naona chakula cha watu wawili hapa? Kate akamwambia chakula ni mimi nakula ala na useme chenye unasema niende kulala..Sharon akamwambia enyewe ukiwa mimba unakula chakula ya watu wawili๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚all in all,Sharon ashajua Kate si wife wa Mark ju sasa anauliza Kate,kama wewe ni wife wa Mark,mlipatana wapi?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Itaendeleaโ€ฆ

Meanwhile, kuna wewe bado hujaFile KRA return na muda unasonga kusonga. Nimerudi ile bizz yangu, Nitafute whatsapp for any issues to do with KRA na Ecitizen, number 0707579313.

Mil

I'm a content creator, Web/android developer, IT specialist, digital marketer and super Admin. Reach out for any inquiry: info@milton.co.ke

Related Posts

7 Arrested In Kasama For Theft Of ZESCO Copper Cables And Stolen Property

SEVEN ARRESTED IN KASAMA FOR THEFT OF ZESCO COPPER CABLES AND STOLEN PROPERTY Seven people, among them two Chinese nationals have been arrested in Kasama for the suspected theft of…

Read more

  • MilMil
  • News
  • July 10, 2025
  • 1 minute Read
Commissioner Gitonga Destroys Over 30 (KANONDO) Gambling Machines Netted in Tharaka Nithiร 

Tharaka Nithi County Commissioner David Gitonga has led a crackdown on illegal gambling, overseeing the destruction of more than 30 gambling machines seized from different parts of the county.The machines,…

Read more

You Missed

7 Arrested In Kasama For Theft Of ZESCO Copper Cables And Stolen Property

  • By Mil
  • July 10, 2025
7 Arrested In Kasama For Theft Of ZESCO Copper Cables And Stolen Property

Commissioner Gitonga Destroys Over 30 (KANONDO) Gambling Machines Netted in Tharaka Nithiร 

  • By Mil
  • July 10, 2025
Commissioner Gitonga Destroys Over 30 (KANONDO) Gambling Machines Netted in Tharaka Nithiร 

A cheating husband wanted to find out ifhis wife knew about his unfaithfulness to her

  • By Mil
  • July 10, 2025
A cheating husband wanted to find out ifhis wife knew about his unfaithfulness to her

PNU Party Leader Peter Munya Cancels Fred Matiang’i’s Meru Tour

  • By Mil
  • July 10, 2025
PNU Party Leader Peter Munya Cancels Fred Matiang’i’s Meru Tour

DPP has approved murder charges against police officer Barasa Masinde

  • By Mil
  • July 10, 2025
DPP has approved murder charges against police officer Barasa Masinde

DO’s and DONT’s in Chicken Farming

  • By Mil
  • July 7, 2025
DO’s and DONT’s in Chicken Farming

Things To Do Immediately After Buying Land

  • By Mil
  • July 7, 2025
Things To Do Immediately After Buying Land

Kenya Railways Resumes Madaraka Express After Sunday Disruption

  • By Mil
  • July 7, 2025
Kenya Railways Resumes Madaraka Express After Sunday Disruption

Here Is The New Arsenal Striker

  • By Mil
  • July 7, 2025
Here Is The New Arsenal Striker

UPDATE: Justice Chacha Mwita adjourns digital activist Ndiangui Kinyagia case to July 18 and 24

  • By Mil
  • July 3, 2025
UPDATE: Justice Chacha Mwita adjourns digital activist Ndiangui Kinyagia case to July 18 and 24

Looters Nabbed, Stolen Property Recovered IN Police Blitz

  • By Mil
  • June 29, 2025
Looters Nabbed, Stolen Property Recovered IN Police Blitz

How To Make Money Massively In Pig Farming

  • By Mil
  • June 29, 2025
How To Make Money Massively In Pig Farming

Football Transfer Gossip

  • By Mil
  • June 29, 2025
Football Transfer Gossip

Recovery Of Stolen Firearms

  • By Mil
  • June 28, 2025
Recovery Of Stolen Firearms

3 Arrested For The June 25th Goons Attack On Persons And Property

  • By Mil
  • June 28, 2025
3 Arrested For The June 25th Goons Attack On Persons And Property

How to Plant Potatoes

  • By Mil
  • June 28, 2025
How to Plant Potatoes

Former Deputy President Rigathi Gachagua has broken his silence on why he was absent during the June 25th demonstrations

  • By Mil
  • June 28, 2025
Former Deputy President Rigathi Gachagua has broken his silence on why he was absent during the June 25th demonstrations

UPDATE: Iran’s parliament has approved a motion to close the Strait of Hormuz

  • By Mil
  • June 23, 2025
UPDATE: Iran’s parliament has approved a motion to close the Strait of Hormuz

Is He “Dead”?

  • By Mil
  • June 22, 2025
Is He “Dead”?

The Most Tested Proven Ways To make Your Chicken Lay More

  • By Mil
  • June 21, 2025
The Most Tested Proven Ways To make Your Chicken Lay More

13 Things That Secretly Destroy A Man’s Destiny

  • By Mil
  • June 21, 2025
13 Things That Secretly Destroy A Man’s Destiny

Update: OCS Talaam Files A Case Against IPOA

  • By Mil
  • June 20, 2025
Update: OCS Talaam Files A Case Against IPOA

What Nandi Senator Said About The Police officer Who Was Shot Dead

  • By Mil
  • June 20, 2025
What Nandi Senator Said About The Police officer Who Was Shot Dead

An Associated Press photographer Brian Inganga captured the shooting of a civilian by a Kenyan police officer

  • By Mil
  • June 18, 2025
An Associated Press photographer Brian Inganga captured the shooting of a civilian by a Kenyan police officer

Iran has asked Qatar, Saudi Arabia, and Oman to urge US President Donald Trump to pressure Israel into an immediate ceasefire

  • By Mil
  • June 17, 2025
Iran has asked Qatar, Saudi Arabia, and Oman to urge US President Donald Trump to pressure Israel into an immediate ceasefire

My Advice To Youths

  • By Mil
  • June 17, 2025
My Advice To Youths