
ππππ π
Neema ameamkia kazini,anajaribu kufanya mahesabu na anaona mauzo yameenda chini sanaβ¦Paul alikuja akaambia Neema,uko hapa na Jojo aligongana na gari? Neema akashtuka akamuuliza kama mwenye aligonga aliumia? Paul akasema zii hakuumia saaanaβ¦huh! Neema kuskia hivyo alimcall Eddy akamwambia wait for me,we need to talk. Neema amejam vibaya sana.
Wakati anatoka,alikutana na Mark..akaambia Mark acha nitafute huyu mwanaume tumalizane na yeye,naona ameanza kunichezea sana. Mark akamuuliza ni kuhusu chenye aliambia boss? Neema akamuuliza kwani ameambia boss nini? Mark akamwambia ameenda akaambia bossy ati bado mko wife na hubby na ati niachane na wewe..Neema sasa ako an sababu mbili muhimu za kudeal na Eddy sasa.

Huku kwa Barasa,alipata Salome amempakia lunch lakini Baraza akamwambia please dontβ¦kisha Barasa akamwambia sikiza, nilikubali ukae hapa ndio mkue na bond na Jayden..Salome akamuuliza so unamaanisha wewe,hutawai nisamehe? Barasa akamwambia ukweli,sina kinyongo na wewe lakini nilikupoteza once na sitaki kukupoteza tena na ilinichukua miaka sana kupona. Sitaki tuwe wapenzi nikupoteze tena chenye nataka ni uwe na bond na mtoto wako. wah..
Ona Eddy sasa,alimuona Neema kwa umbali akamwambia baby wangu kuja sweetie niko hapa. Neema amejam,akafika akauliza Eddy,ni ujinga gani unafanya? Jojo aligongana na hukusema,ukaenda kwa bossy kusema tuko pamoja na hukuniambia,kichwa yako,hii akili ina akili kweli? Neema aliambia Eddy sikiza, hujawai kuwa baba mzuri kwa watoto,only thing you do ni ukipata tupesa ni kuwabuyia vitu ndio wakupende but ujinga wako utakuja kutucost sana..nilikuambia Jojo asishike gari ju hana driving licence hukusikia now see,amegongana na you are here relaxed kama mende imelamba acidβ¦na uache kuambiana ati mimi ni wife wako,uache or else nitaambia watoto wako chenye ulifanya na huyo mwanamke tuone kama watawai taka kukuona.

Amani na yeye aliamkia kumcall Jojo,akamwambia karembo,amka twende kwa farm tupige mapicha..Jojo akamuuliza na wewe ndio nani? Amani akamwambia come on,ni msee uligonga jana,Amani. So Jojo yafaa ameet na Jayden leo na tena yafaa akutane na Amani,acha tuone katabeba kichwa kuenda wapi..
Jayden alikuja akapata mamake akifanya usafi hapo,akamuuliza unafanya nini? Salome akamwambia aah son,nilikua nafanya usafi kiasi..Jayden akamwambia sikiza,the only reason uko hapa ni ya huruma wa babangu,na yoh iam not your son,usiniite son siku ingine,you are not MY MOTHERβ¦wuehβ¦kubaya huku
Jojo ashaamka ready kuenda kuona Amani,lakini punde si punde akapigiwa simu na Jayden akamuuliza babe,uko home? Jojo akasema yeah,but nataka kutoka kiasiβ¦Jayden akamwambia nilikua nataka kuja kukuona but Jojo akamwambia aah si sai niko kwa haraka sana maybe tukutane siku ingine ama next yearπππ
All the way from Mombasa, Karen ashafika Nairobi an hajakuja wka uzuri,akekuja kudeal na Naomi.
Huh! Lakini sasa chei,Olivia akitoka kazini,kuna mtu alikua anatrail pole pole..na hadi alicall Richard,akamwambia babe,kuna jamaa naona kama ananifuata sijui ni nani..lakini kabla Olivia hajamaliza kuongea,alikua ashafikiwa na kisu,akanyang’anywa kila kitu na akaambiwa tu kitu moja,wachana na bwana ya wenyewe.πππ
ππππ π
Ewee! Ona sasa Jojo na Amani,wamebebana kwa bike wako tu fitiβ¦ na kumbe wakiwa kwa barabara,Jojo walipitana na Jayden..Jayden akamuona vizuri sana but Jojo hakumuonaβ¦wah! Inaitwa heartbreakβ¦
Jojo alileta Amani hadi kwa Mark waongee na wakiwa hapo Sharon na mamake wakipita wakamuona Amani hapo na Sharon akamuuliza na wewe ndio nani? Amani akajintroduce an kumbe Val na Amani wakawa na ile love at first siteβ¦hadi Val anaimagine akiwa na Amani.πππ
Karen amefika,akakutana na beshte wake na akamwambia venye chenye anataka ni Naomi to pay for what she did to her..beshte alimuuliza na Eddy bado mnafendana? Karen akamwambia huyo simtaki tena,I crossed that bridge for good.
Karen alikua anatafuta number ya Alphonseβ¦
Neea alirudi akaambia Mark venye kumeenda na akaambia Mark venye amepasha Eddy..Mark akamwambia basi,I like the woman you are becoming. Punde si punde Jojo na Amani wakafikaβ¦Neema akaona jamaa amevaa jacket akamuuliza kama huwa anaendesha bike? Amani akasema yeah na Neema akajoke tu akamwambia usipee Jojo bike huwa anagongana sana..Amani akamwambia yeah hata jana karubu amumalize na hapo ndio Neema akajua ooh,so ni wewe aligongaπππ
Mark pia wakafanyiana intro na Amani lakini cheki,Amani kusikia tu huyu ndio Mark,alishtuka na akamsalimia kwa wasiwasi sana,kwani Amani ni nani?? Hahaa! Yo didnt see it coming right?????????
Sharon ashafika kwa Mark na wakati anabisha,Kate na Tom walikua wanakula so ikabidi Tom amejisunda kando kiasi ju wanadhani maybe ni mtu mwingineβ¦Sharon kuingia akauliza Kate,kwani mumekua wangapi naona chakula cha watu wawili hapa? Kate akamwambia chakula ni mimi nakula ala na useme chenye unasema niende kulala..Sharon akamwambia enyewe ukiwa mimba unakula chakula ya watu wawiliπππall in all,Sharon ashajua Kate si wife wa Mark ju sasa anauliza Kate,kama wewe ni wife wa Mark,mlipatana wapi?πππ Itaendeleaβ¦
Meanwhile, kuna wewe bado hujaFile KRA return na muda unasonga kusonga. Nimerudi ile bizz yangu, Nitafute whatsapp for any issues to do with KRA na Ecitizen, number 0707579313.
Leave a Reply