Neema 2nd April Written Updates

P𝐀𝐑𝐓 𝟏
Richard akiwa ametulia hapo anakaa mtu wa mawazo sana and mind you ndio tu wamemaliza hearing ya divorce. Olivia alikuja hapo akajua mara moja lazima ni Naomi hakuja ndio maana Richard ameboeka akamwambia babe usiwe na wasiwasi najua Naomi hakuja lakini Richard akamwambia she came
kukuja alikuja ndio but hatakua divorce anasema ako na stomach cancer and just like that they case was postpone 😂😂😂😂😂anaitwa Naomi! She controls everything.

Huku kwa hotel, Neema aliambia Tom waendelee kukaa huku until Cate ajifungue. Mark aliambia Tom, pia akuje awe anakaa kwake for safety until Cate ajifungue kwanza. That was a relief sana kwa Tom.

Ahaaa! Mzee wa janda, kumbe Dancan ashaanza kufanya kazi ya boda, kuna gari anafanyia uber hapa Lakini shida yake ako expe sana 😂😂😂kuna customer alikuja anataka kuenda airport but bei ya Dan ni mob sana, anataka 3k kutoka Githunguri hadi airport 😂😂😂waliletana hadi wakafika 2500..Dan ashaanza hustle rasmi.

Now shida ya divorce ya Richard na Naomi, can’t go on akiwa na stomach cancer na ni sheria you can’t divorce kama partner wako ni mgonjwa you can only divorce akiwa in good health 😍😍😍

Dancan wakienda airport, customer akapigiwa simu akawa na emergency na mind you walikua wameelewana 2500 Lakini shida ni ikawa customer arudi Pipeline haendi airport tena, Dan akauliza, so bei itakua aje? Customer akamwambia itakua punch 😂😂😂😂woieye Dancan from 250p hadi mia tano, pole bro, hali ya kazi.

Sharon ako happy sana, mumewe ashapata kazi
Lakini tena, customer wakielekea pipeline akachange tena akasema sasa siendi pipe, naenda Kayole 😂😂😂heeee! Hivyo ndio customer alishukishwa.

Customer alituma 500 na Dan akajam sana, wakaletana juu hadi karibu vita iamke😂😂😂😂hali halisi ya kazi.

Richard alikuja kuona akina Neema na Mark na akawaambia, Good news ni nishapata information but bad news ni it’s true you as Neema bado uko married kwa Eddy. Richard aliwaelezea akasema ashafanya process so within 15 days wewe na Mark mnaeza anza ile kitu officially unless Eddy appeals 😱😱😱woiye Mark wetu!

Neema akauliza Richard what about yako na Naomi imeenda through ama hakuja tena? Richard akamwambia kukuja alikuja but amekuja na medical condition, ati ako na stomach cancer na sasa verdict didn’t go through hadi awe sasa. That was a shock kwa Richard but sasa utadu!

You know nyi watu wenye hamjai divorce hamuezi elewa, ni sheria mkidivorce lazima partner wako awe healthy akiwa na any complications it’s your duty kuhakikisha amepona ndio mdivorce sasa ju saaa unadivorce mgonjwa ndio aende alindwe na nani??? Si hata mimi na Pauloh before tudivorce, walimpima wakaona kichwa yake si mzuri wakacancel na ndio mnaona bado tuko marafiki hadi sai, same kwa huyu Jamal pia, walipima wakaona ako na ugonjwa wa kuparara, inaitwa deriparalajay, na ndio akaanza akujiita Derrick Jamal😂😂😂😂

Ad 2
Ads: Click image 👆 & Download M News

Ebu twende part 2 wakuu
.

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐
Neema kusikia Naomi ako na stomach cancer alisahau yale mabaya amefanyiwa akamcall Naomi kumpa tu zile pole na kumpa moyo kuwa yake anapitia, yatapita. Just imagine having a friend like Neema, no matter how bad unakosea she still has that courtesy
plus now kumbuka Naomi ni pregnant
even though Richard anajua si yake 😂😂😂😂aligpngewa.

Sasa finally, Jojo alikutana Jayden kuongea na Jayden hakutaka kuwaste time akauliza Jojo, so ushacancel plans zetu za kuenda majuu??? Jojo akamuuliza why? Jayden akamwambia niliambiwa na beshte yako Brayo
kwanza Jojo akashtuka, Brayo alijua aje but akaambia Jayden unajua venye dad amekuja so namsaidia kuconvince madhe so hadi familia irudi sawa ndio twende
Lakini Jayden akamuuliza, so if it won’t work you will give up on your dreams??. Jojo akamwambia, I can’t answer that now
Jayden akajua hapa, hana lake 😱😱😱

Tom aliletwa kwa Mark and after days, wamekutana na Cate tena. Such a happy moment.

Siku iliyofuata, kumbe leo hii ni siku kubwa ya Jojo, she is graduating today. Kumbe Jojo alikua ashamuita babake but hakuambia mamake so wakitoka tu hivi, mbele yao Eddy amefika😂😂😂Neema akauliza Eddy unafanya nini, Eddy akamwambia ni siku ya mtoto wetu ya graduation so tunaenda kama wazazi.

Sikiza, Neema ilikua waende na Mark but sasa ju Eddy amekuja, Neema akaambia Mark aje “utanikalia na Ian” na hii ina maana Neema na Jojo na Eddy ndio wanaenda 😂😂😂

Jayden pia alikua amekuja kupick Jojo but kuona Jojo hana time yake na ameenda kwa gari ya babake ilibidi mwanaume ajipe shughuli.

Neema hapendezwi na hii ujinga, ju anajua hivi ndio Eddy alikua anafanya akamharibu Jojo kabisa ameanza tena.

Jojo alimcall Val akamwambia guess what, babangu ameninunulia gari
Val alishtuka kwanza akaambia mamake imagine Jojo amepewa gari na babake kama gift
Sharon akamwambia usijali babako pia angebuy shida yake ni pesa zinaishia kwa pombe na wasichana
Hii statement ya Sharon iliwashtua akina Val na Dan, si kwa sababu amesema ukweli but ni kwa sababu ya “kwani ameanza kukumbuka mambo ya kitambo” 😂😂😂 Hii ina maana, Sharon Madiba, ameanza kupona Asante sana na sasa akipona, likes of Val, Dan watapenda😂😂😂😂wah! Noma sana.

  • Mil

    I'm content creator, Web/android developer, IT specialist, digital marketer and super Admin. Reach out for any inquiry: info@milton.co.ke

    Related Posts

    Citizen Tv reporter, Collins Shitybai has sadly lost his mother, Mama Sevenzia

    Citizen Tv reporter, Collins Shitybai has sadly lost his mother, Mama Sevenzia. In a heartfelt message, he recalled how just days ago she had called him after he was assaulted


    Read more

    Lillian Ng’ang’a opens up about her breakup with Juliani, citing emotional neglect as a key reason behind their split

    The former Machakos County First Lady has lamented how her estranged partner Juliani, who was born and raised in Dandora in abject poverty, failed to value some of their most


    Read more

    Leave a Reply

    Leave a Reply

    Your email address will not be published. Required fields are marked *

    You Missed

    Citizen Tv reporter, Collins Shitybai has sadly lost his mother, Mama Sevenzia

    • By Mil
    • April 24, 2025
    Citizen Tv reporter, Collins Shitybai has sadly lost his mother, Mama Sevenzia

    Lillian Ng’ang’a opens up about her breakup with Juliani, citing emotional neglect as a key reason behind their split

    • By Mil
    • April 23, 2025
    Lillian Ng’ang’a opens up about her breakup with Juliani, citing emotional neglect as a key reason behind their split

    What You Should Know about Aviator

    • By Mil
    • April 22, 2025
    What You Should Know about Aviator

    UPDATE: Since Pope Francis is dead, Here’s Step-by-Step of The Catholic Church after the death of a Pope

    • By Mil
    • April 21, 2025
    UPDATE: Since Pope Francis is dead, Here’s Step-by-Step of The Catholic Church after the death of a Pope