
Mwanamitindo maarufu hapa nchini Surraiya Rimoy [Sanchoka] ameweka wazi kuwa hayupo tena kwenye mahusiano na haitaji kabisa mwanaume asiyekuwa na pesa kwani hataweza kumpa huduma zote anazostahili.
“Sipo kwenye mahusiano kwa mda sasa, Nataka mwanuame mwenye pesa nyingi kwani mahitaji yangu yanahitiji pesa nyingi mno.” To read more Click here.