
Pπππ π
Richard akiwa ametulia hapo anakaa mtu wa mawazo sana and mind you ndio tu wamemaliza hearing ya divorce. Olivia alikuja hapo akajua mara moja lazima ni Naomi hakuja ndio maana Richard ameboeka akamwambia babe usiwe na wasiwasi najua Naomi hakuja lakini Richard akamwambia she cameβ¦kukuja alikuja ndio but hatakua divorce anasema ako na stomach cancer and just like that they case was postpone πππππanaitwa Naomi! She controls everything.
Huku kwa hotel, Neema aliambia Tom waendelee kukaa huku until Cate ajifungue. Mark aliambia Tom, pia akuje awe anakaa kwake for safety until Cate ajifungue kwanza. That was a relief sana kwa Tom.
Ahaaa! Mzee wa janda, kumbe Dancan ashaanza kufanya kazi ya boda, kuna gari anafanyia uber hapa Lakini shida yake ako expe sana πππkuna customer alikuja anataka kuenda airport but bei ya Dan ni mob sana, anataka 3k kutoka Githunguri hadi airport πππwaliletana hadi wakafika 2500..Dan ashaanza hustle rasmi.
Now shida ya divorce ya Richard na Naomi, can’t go on akiwa na stomach cancer na ni sheria you can’t divorce kama partner wako ni mgonjwa you can only divorce akiwa in good health πππ
Dancan wakienda airport, customer akapigiwa simu akawa na emergency na mind you walikua wameelewana 2500 Lakini shida ni ikawa customer arudi Pipeline haendi airport tena, Dan akauliza, so bei itakua aje? Customer akamwambia itakua punch ππππwoieye Dancan from 250p hadi mia tano, pole bro, hali ya kazi.
Sharon ako happy sana, mumewe ashapata kaziβ¦Lakini tena, customer wakielekea pipeline akachange tena akasema sasa siendi pipe, naenda Kayole πππheeee! Hivyo ndio customer alishukishwa.
Customer alituma 500 na Dan akajam sana, wakaletana juu hadi karibu vita iamkeππππhali halisi ya kazi.
Richard alikuja kuona akina Neema na Mark na akawaambia, Good news ni nishapata information but bad news ni it’s true you as Neema bado uko married kwa Eddy. Richard aliwaelezea akasema ashafanya process so within 15 days wewe na Mark mnaeza anza ile kitu officially unless Eddy appeals π’π’π’woiye Mark wetu!
Neema akauliza Richard what about yako na Naomi imeenda through ama hakuja tena? Richard akamwambia kukuja alikuja but amekuja na medical condition, ati ako na stomach cancer na sasa verdict didn’t go through hadi awe sasa. That was a shock kwa Richard but sasa utadu!
You know nyi watu wenye hamjai divorce hamuezi elewa, ni sheria mkidivorce lazima partner wako awe healthy akiwa na any complications it’s your duty kuhakikisha amepona ndio mdivorce sasa ju saaa unadivorce mgonjwa ndio aende alindwe na nani??? Si hata mimi na Pauloh before tudivorce, walimpima wakaona kichwa yake si mzuri wakacancel na ndio mnaona bado tuko marafiki hadi sai, same kwa huyu Jamal pia, walipima wakaona ako na ugonjwa wa kuparara, inaitwa deriparalajay, na ndio akaanza akujiita Derrick Jamalππππ
Ebu twende part 2 wakuuβ¦.
ππππ π
Neema kusikia Naomi ako na stomach cancer alisahau yale mabaya amefanyiwa akamcall Naomi kumpa tu zile pole na kumpa moyo kuwa yake anapitia, yatapita. Just imagine having a friend like Neema, no matter how bad unakosea she still has that courtesyβ¦plus now kumbuka Naomi ni pregnantβ¦even though Richard anajua si yake ππππaligpngewa.
Sasa finally, Jojo alikutana Jayden kuongea na Jayden hakutaka kuwaste time akauliza Jojo, so ushacancel plans zetu za kuenda majuu??? Jojo akamuuliza why? Jayden akamwambia niliambiwa na beshte yako Brayoβ¦kwanza Jojo akashtuka, Brayo alijua aje but akaambia Jayden unajua venye dad amekuja so namsaidia kuconvince madhe so hadi familia irudi sawa ndio twendeβ¦Lakini Jayden akamuuliza, so if it won’t work you will give up on your dreams??. Jojo akamwambia, I can’t answer that nowβ¦Jayden akajua hapa, hana lake π’π’π’
Tom aliletwa kwa Mark and after days, wamekutana na Cate tena. Such a happy moment.
Siku iliyofuata, kumbe leo hii ni siku kubwa ya Jojo, she is graduating today. Kumbe Jojo alikua ashamuita babake but hakuambia mamake so wakitoka tu hivi, mbele yao Eddy amefikaπππNeema akauliza Eddy unafanya nini, Eddy akamwambia ni siku ya mtoto wetu ya graduation so tunaenda kama wazazi.
Sikiza, Neema ilikua waende na Mark but sasa ju Eddy amekuja, Neema akaambia Mark aje “utanikalia na Ian” na hii ina maana Neema na Jojo na Eddy ndio wanaenda πππ
Jayden pia alikua amekuja kupick Jojo but kuona Jojo hana time yake na ameenda kwa gari ya babake ilibidi mwanaume ajipe shughuli.
Neema hapendezwi na hii ujinga, ju anajua hivi ndio Eddy alikua anafanya akamharibu Jojo kabisa ameanza tena.
Jojo alimcall Val akamwambia guess what, babangu ameninunulia gariβ¦Val alishtuka kwanza akaambia mamake imagine Jojo amepewa gari na babake kama giftβ¦Sharon akamwambia usijali babako pia angebuy shida yake ni pesa zinaishia kwa pombe na wasichanaβ¦Hii statement ya Sharon iliwashtua akina Val na Dan, si kwa sababu amesema ukweli but ni kwa sababu ya “kwani ameanza kukumbuka mambo ya kitambo” πππ Hii ina maana, Sharon Madiba, ameanza kupona Asante sana na sasa akipona, likes of Val, Dan watapendaππππwah! Noma sana.
Leave a Reply