
Pπππ π
Sharon akiwa jikoni,walimuona Alphonse. Alphonse alikuja akaambia Neema please, tunaeza ongea kiasi? Neema akamwambia apana but Alphonse akasema please kidogo tu. Sharon akauliza Alphonse,shida yako ni nini si umeambiwa apana,ama uko kiwete na maskio pia.
Neema alimuuliza unataka nini? Alphonse akamwambia nimepigiwa simu you turned down job offer ulipewa? Neema akmwambia yeah because I don’t want anything to do with you. Alphonse akamwambia please, I did it professional sikua na ubaya lakini Neema akamwambia nimekuambia sitaki and I don’t care. Alphonse akamwambia but hii attitude yako haikusuit kabisa what have I done? Neema akamwambia sikiza, anytime unakua karibu na sisi something bad happens na hata ajali ya jana haikua ya kawaida. Alphonse akawaambia kwendeni huko! Kama mnadhani ama mnaniaccuse endeni polisi lakini Neema alimfukuza,akamwambia kaa mbali na sisi. Alphonse ilibdi ajitoe,ju sasa kama hutakwiππππ
Karen na yeye alipigiwa simu na Naomi akamwambia babes,nimeenda vacation kiasi I will be away kiasi nimeenda na Goliath wa Bungoa tutarudi next time. Karen akamuuliza what of Eddy,yafaa tumtoe ndani? Naomi akamwambia huyo,let him learn his own lesson. Karen akamwambia yoh,yafaa tufanye wedding soon so please enda vacation mbio na ukijifungua make sure you call me..thats how Naomi ametolewa kwa kipindi.
Jojo alikuja shule kutafuta Jayden ju anataka sana waongee. Jayden alimuuliza unataka nini? Jojo akamwambia I just came to see you,can we go somewhere tuongee? Jayden akamwambia tunaeza ongea tukiwa tumesimama hapa ju wewe sikuhizi sikuelewi kabisa,si Brayo,si Ben sasa..but Jojo akamwambia yoh,I still love you Jayden. Jayden alimwambia wee siezi kuamini so please,lets go our separate ways. Wueh! Jojo aliona haina shida,akaambia Jayden ni sawa,and good bye. Kumbe Jesca wa Salome was in vicinity,akakuja kwenye Jayden amesimama.
Jayden alimuuliza na wewe ndio nani? Jesca akajiintroduce kuwa mtoto wa Salome. Wakaongea kiasi kama bro na sisterβ¦Jesca anaambia Jayden unafanana madhe,,,na Jayden anamwambia at least tabia zangu ni za babanguπππ
ππππ π
Jesca waliongea sana na Jayden na hata Jessy anajaribu kuambia Jayden how I wish angepea mamake chance but Jayden akamwambia huwezi elewa ju you aren’t in my shoes. At some point, Jayden is trying to understand Jessy hadi akamuuliza,so unajaribu kufanya nini? Jessy akamwambia hamna,nilitaka tu tujuane. Jayden alikua amejam but anajipata amesmile ju Jessy ni vibe.
Haya,turudi kwa barabara,uncle wa Cate alipigiwa simu na babake Cate,bado wanatafuta Cate na mipango zao ni wapate Cate aletwe aolewe venye walikua wamepanga.
Jayden aliambia Jessy huwezi elewa ju hukuachwa na madhe,mimi niliachwa. Jessy akamuuliza by the way ile story ya kufile kesi..will you continue? Jayden akamuuliza ooh,so ulitumwaπππJessy akamwambia zii,my brother is spoiled kid,how utadeal na yeye its upto to you and Iam happy for having a brother like you. Jayden na Jessy wakahugiana hapo na huyo,Jessy akaenda.
Our newest kiwete in town,Mark alitembelewa na mabeshte zake akina Baraza,bossy wake na hata Babu Jay,kisha punde si punde,wazimu akafikaβ¦thats Alphonse. Mark akamuuliza unataka nini? Alphonse akamwambia sikiza Mark,sijui mbona unanitreat kama enemy hapa na kwanza una bahati sana hukuvunjika mguu kama mimi ju imagine kama ni mimi ningevunjika miguu zote.
Alphonse amekuja na hasira zake huku,hadi anaambia bossy wa Mark,usipokua keen sana na huyu,atakuharibia kazi na atakupotezea clients. Kisha huyoo,Alphose akaenda,bossy akamfuata kuongea na yeye asije akaharibu kazi. Yani Alphonse amejam kwa kukataliwa na Neemaππππ
Jojo akipita,aliitwa na Baraza akamuuliza kama ako sawa? Jojo akasema yeah but Baraza akaona apana,hawa watoto kuna kitu kinaendelea and Jojo akaona kama hivyo ndio Jayden ameamua yeye na yeye aliamua kuambia Baraza ukweli wa mambo.
Sharon wakitoka job,alikuja kwa Mark direct,akamwambia Mark.leo umemiss uhondo,huyu wife wako Neema,amempasha huyo mwanaume wakipara,venye inafaa. Neema aliambia Mark venye alimpea Alphonse stopper,Mark pia akamwambia kwanza amekua hukuβ¦kisha Neema akaambia Mark,ile place ulipata ajali,kuna kitu hakiko sawa,hiyo shimo ilichimbwa jana tu. Mark akamwambia then that’s Alphonse,he is setting a trap. shida tu,hawana proof.
Jojo alifunguka,akaambia Baraza kila kitu,from job,to Ben to everything. Baraza akamwambia kama kuna kitu Jayden wangu hapendi ni kudanganywa na hapo ulifanya makosa sanaβ¦hata kama ulifanya wa kusaidia mamako.
Baraza aliambia Jojo ataongea na yeye waone venye mambo itakua na Baraza akamwambia,adui wa mapenzi ni kiburi na kila mtu hafai kuwa juu,Jayden ako juu hufai kuwa juu,wewe ukiwa juu Jayden hafai kuwa juu,kiburi kwa mahusiano si poa hata kidogo.
Leave a Reply