
Mambo muhimu ya kuzingatia katika kuchagua aina ya kuku wa kufuga kibiashara ambapo kwa ufupi ni lazima uzingatie uwezo wa kupambana na magonjwa, kasi ya ukuaji, soko, utagaji wa mayai (mkubwa), gharama za matunzo, uzito na wingi wa nyama.
Ufugaji wa kuku kibiashara umejikita katika aina kuu nne za kuku ambazo ni kuku chotara, kuku wa kienyeji (pure), kuku wa nyama (broiler) na kuku wa kisasa wa mayai (wasiohitaji jogoo).
Nitaenda kuelezea kwa kifupi breed / aina mbalimbali za kuku pamoja na sifa zake. To read more Click here.