
Aliyekuwa Afisa Mkuu wa Kilimo Cha Mifugo na Uvuvi Kaunti ya Kakamega Marehemu Bi Jessica Weku Wesonga aanza safari yake ya mwisho duniani.
Jessica alikuwa kiongozi katika Serikali ya Kaunti ya Kakamega na alikuwa mchapa kazi ,mchangamfu,mwenye maono mema na mshauri mwema.
Ibaada hii inaandaliwa leo katika uwanja wa Bukhungu Stadium -Kakamega kisha mwili wa mwendazake utasafirishwa hadi nyumbani kwake Matungu tayari kwa mazishi siku ya to read more Click here.