
ππππ π
Huh! So Naomi na Richy yafaa wawe na kesi ya divorce lakini Naomi hakuenda ikabidi iwe postponed for 3 months. Richard alijam,akakuja akauliza Naomi shida yako ni nini? Naomi akamwambia kwani uko an haraka ya kuniacha aje..relaxπππRichard anataka waachane aende maisha yake but Naomi hataki hadi anaambia Richard can we have a cup of coffee,my good old friend. Kumbe deal ya Naomi ni hataki kuachwaππππ
Maskini wa Mungu Mark na yeye,kumbe alikua amepigiwa simu na Rachael wameet..na ndio ujue shetani timing yake huwa maridadi,cheki sasaβ¦Neema alirudi home kuchange ili waende bash ya nani? Alphose,na hakuambia Mark..Mark akapigiwa simu akatoka na hakuambia Neema ni nani..sasa Mark akiwa amehugiana na Rachael,kumbe ndio Neema wanapita hapo wakienda bashβ¦Neema alishuhudia hivi live live,Mark akiwa ameshikwa tightness na Rachael wakihugaina. Aliumwa but hakuna chenye angefanya ju Mark hajui anaenda kwa Alphoseπππaana hii yafa nimsaidie kuliaππππ
Neema ndio akajiuliza,si Mark alisema Rachael anaenda sai wanafanya nini huku? Rachael na yeye alianza kulia,kwa nini? Kwa sababu uncle yule mwenye wamekua nayeye hosi jana,ashakufa,makosaπ―π―π―Mark sasa inabidi amebaki hapo kumPOMBEleza Rachael.
Kwa Alphonse party ishaanza na alicoach sister yake akamwambia Neema akifika,show your intrest kwake sana I have to get her lakini sister anamwambia mbona unataka kuoa divorcee wa watoto wawili? Lakini Alphonse akamwambia,hata hivyo mimi siezi pata watoto so lazima tu nioe mwenye ako na watotoπ€£π€£π€£woiye Alpho.
Mark amekuja kwa Baraza akamwambia anataka waongee kiasi. Mark akamwambia mimi na Cate hakuna anything,nilikua namsaidia tu and you were right iam in love na Neema and she also feels the same shida ni Rachael..my ex girlfriend.
Rachael ni kulia tu hadi alicall mamake akamwambia mum, uncle is dead! Uncle ni brother wa mamake Rachael,kusikia brother wake amekufa,alishtuka sana,kumbe sasa hivi ndio story,mamake Rachael huwa hamsaidii bro wake na sababu ni mzee wake ambaye ni babake Rachael alichukia sana brother in law ikafanya mke wake ambaye ni mamake Rachael ambaye ni sister wa uncle wa Rachael hakuwai msaidia ama kumtembelea and now he is dead.
ππππ π
Mark alielezea Baraza akaambia Baraza kuhusu Rachael na wako na mtoto. Baraza akamuuliza,unajua venye mtoto anafanana? Mark akamwambia alimuona tu kwa picha. Baraza akamuuliza na mbona uko confused na unasema unapenda Neema? Mark alimwambia shida ni Rachael hakuniacha,she was forced kuoleka kwingine.
Baraza alimwambia 20yrs ni mingi sana na kwa maisha kuna watu watakusaidia kufind yourself ama ujipoteze. Mark akamwambia ni kweli,ju Neema has made postive impact kwa life sana. Baraza akamwambia basi, it will be shameless kama utaacha Neema aende,huyo ni bibi bro!
Baraza pia akaelezea Mark venye alipenda mtu na akafanya akawa destroyed kabisa hadi sai hafeel kupenda so anaambia Mark isiwe hivyo akiacha Neema aende.
Kwa Alphonse party ishaanza na Alphonse anajaribu sana kuintroduce Neema to big people. Kuna dem alikuja hapo akaambia Alphonse yeye anaenda ju nanny na akaambia Alphonse kuwa makini usijikwaruze mguu tenaβ¦Neema akashindwa huyu dem anaambia aje mtu alipata ajali. Ukweli ni hawa wanajua Alphonse hajawai pata ajali ni uongo tuπ€£π€£π€£
Watu walifurahia sana chakula cha Neema ju nikitamu sana.
Kwa Salome bwanake alimuanza tena,akamuuliza mbona ulinyamaza story za mtoto wako tena,ama uliona huwezi ishi bila pesa zangu? Saloma alisimama kwa hasira,akaambia Francis sikiza, iam tired of your stupidity. Wote wakaanza kuletana juu na Francis akaambia Salome kama umechoka na mimi,mlango uko wazi ishiaβ¦but Salome alikaa tu chini.
Kwa party,sister wa Alphonse anaambia Alphonse,atake time kuchunguza Neema kwanza ndio aamue kusettle na yeye. Jojo pia ako kwa party na kuna jamaa alimuona hapo akaanza kumkatia akimwambia anakaa piaβ¦hadi anaambia Jojo,I like your body na hii ni card yangu unaeza nitafuta anytime ju wewe unaeza kaa model mzuri sana. Jojo alimwambia mmh,thats not my thing,modelling is not my thing.
Jamaa anamtaka Jojo but Jojo akapigiwa simu na Jayden ikabidi ameenda kumchukua nje.
Sharon alikuja kwa Mark akamuuliza Cate babake na mamake wako but Cate akamwambia kama unaongelea Neema na Mark hawako. Sharon anashindwa mbona unaita wazazi wako kwa majinaπ€£π€£huyu bado hajapona. Yuaitwa Sharon.
Acha for today niachie hapo alafu wasee wa SHA number iko kwa bio mnipe kazi bwanaπ₯°π₯°tukutane whatsapp.
Hi Dear, are you actually visiting this web site daily,
if so then you will absolutely get nice knowledge.