CHANJO.
Kama ilivo Kwa Aina nyingine za Mifugo chanjo NI kitu cha muhimu Sana kukizingatia ili kuepusha hasara zisizo za Lazima.
💉Mifumo ya chanjo imetofautiana kutokana na maeneo unapo wachukua kuku (Ni vema ukaulizia kupewa Ratiba sahihi Kwa Aina ya kuku unao wanunua).
CHANJO INAYOTUMIKA SANA ILI ISISUMBUE
💉 Siku ya 7 Newcastle /Kideri
💉 Siku ya 14 Gumboro/IBD
💉 Siku ya 21 Newcastle/Kideri
💉 Siku ya 28 Gumboro
💉 Wiki ya 4-5 ( siku 30-35 Ndui )
💉 Kila baada ya miezi 2-3 Newcastle
💉 Wape Dawa ya minyoo wakifika miezi miwili,kisha kila baada ya miezi 2.5 – 3
RATIBA ZA CHANJO ZINAWEZA KUTOFAUTIANA KUTOKA SEHEMU MOJA KWENDA NYINGINE ( Ndui Kwa sasa maeneo mengine inachanjwa mapema Kati ya Siku 21-25 ).
MAMBO MUHIMU
✍️Zingatia Chanjo
✍️Weka kumbukumbu zote Ipasavyo
Ushauri juu ya ufugaji wasiliana nasi 👇🏽
Call/Text/WhatsApp
0707579313





