
Makocha wa Ulaya nao hamna kitu aisee huyu kocha wa Chelsea amefeli pakubwa
Ameifanya mechi kuwa ngumu ile red card ya kipa kuihandle ilikuwa simple sana unatoa winga mmoja Estavao halafu Palmer anasogea pembeni Neto kulia na Joao Pedro anacheza kama False number 9 akitokea chinitimu inabaki na muundo ule ule eneo la ulinzi na eneo la kiungo unaamrisha eneo la ushambuliaji
Maresca sijaelewa Kwanini alichanganyikiwa na kutoa wachezaji watatu kwa mkupuo ilihali hajaona Game reaction ya Manchester United baada ya kadi nyekundu yao Poor Maresca.