‘Niliona Mapenzi Haitanikubali’ Tom Daktari Reveals His Love Journey

0

“Niliona kama maisha itakuwa hivi, nitateseka sana. Niliona mapenzi haitanikubali,” comedian Tom Daktari speaks about being rejected by ladies, explains how thoughts of becoming a priest lingered in his mind after being rejected by ladies.

“Unaona mtu unajiambia, eeh, sasa huyu akinikataa atakubali nani, na unaenda anakukataa! Hataki kugrow na mimi. Naona ndugu zangu ambao ni bure wanachukuwa tu, wanakubalika tu. Nikikumbuka, hiyo kitu inaniuma.

Vibe sikuwa nayo. Nashangaa unakaa one hour na msichana, mnasema nini hapa?””Nishukuru ndevu. Tofauti imekuwa kubwa sana. Ukichunga ndevu zako, hata bila pesa, huwezi kukaa vibaya. Inawork. Sasa hivi mabinti wananikubali. Nataka nione itakuwaje. Kwa sababu Walinikataa, kipindi hiki natafuta wale ambao sasa nalipiza kwanza,” the comedian jokingly said on Radio 47.

Share

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *