Neema 2nd April Written Updates

P๐€๐‘๐“ ๐Ÿ
Richard akiwa ametulia hapo anakaa mtu wa mawazo sana and mind you ndio tu wamemaliza hearing ya divorce. Olivia alikuja hapo akajua mara moja lazima ni Naomi hakuja ndio maana Richard ameboeka akamwambia babe usiwe na wasiwasi najua Naomi hakuja lakini Richard akamwambia she cameโ€ฆkukuja alikuja ndio but hatakua divorce anasema ako na stomach cancer and just like that they case was postpone ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚anaitwa Naomi! She controls everything.

Huku kwa hotel, Neema aliambia Tom waendelee kukaa huku until Cate ajifungue. Mark aliambia Tom, pia akuje awe anakaa kwake for safety until Cate ajifungue kwanza. That was a relief sana kwa Tom.

Ahaaa! Mzee wa janda, kumbe Dancan ashaanza kufanya kazi ya boda, kuna gari anafanyia uber hapa Lakini shida yake ako expe sana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚kuna customer alikuja anataka kuenda airport but bei ya Dan ni mob sana, anataka 3k kutoka Githunguri hadi airport ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚waliletana hadi wakafika 2500..Dan ashaanza hustle rasmi.

Now shida ya divorce ya Richard na Naomi, can’t go on akiwa na stomach cancer na ni sheria you can’t divorce kama partner wako ni mgonjwa you can only divorce akiwa in good health ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Dancan wakienda airport, customer akapigiwa simu akawa na emergency na mind you walikua wameelewana 2500 Lakini shida ni ikawa customer arudi Pipeline haendi airport tena, Dan akauliza, so bei itakua aje? Customer akamwambia itakua punch ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚woieye Dancan from 250p hadi mia tano, pole bro, hali ya kazi.

Sharon ako happy sana, mumewe ashapata kaziโ€ฆLakini tena, customer wakielekea pipeline akachange tena akasema sasa siendi pipe, naenda Kayole ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚heeee! Hivyo ndio customer alishukishwa.

Customer alituma 500 na Dan akajam sana, wakaletana juu hadi karibu vita iamke๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚hali halisi ya kazi.

Richard alikuja kuona akina Neema na Mark na akawaambia, Good news ni nishapata information but bad news ni it’s true you as Neema bado uko married kwa Eddy. Richard aliwaelezea akasema ashafanya process so within 15 days wewe na Mark mnaeza anza ile kitu officially unless Eddy appeals ๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ขwoiye Mark wetu!

Neema akauliza Richard what about yako na Naomi imeenda through ama hakuja tena? Richard akamwambia kukuja alikuja but amekuja na medical condition, ati ako na stomach cancer na sasa verdict didn’t go through hadi awe sasa. That was a shock kwa Richard but sasa utadu!

You know nyi watu wenye hamjai divorce hamuezi elewa, ni sheria mkidivorce lazima partner wako awe healthy akiwa na any complications it’s your duty kuhakikisha amepona ndio mdivorce sasa ju saaa unadivorce mgonjwa ndio aende alindwe na nani??? Si hata mimi na Pauloh before tudivorce, walimpima wakaona kichwa yake si mzuri wakacancel na ndio mnaona bado tuko marafiki hadi sai, same kwa huyu Jamal pia, walipima wakaona ako na ugonjwa wa kuparara, inaitwa deriparalajay, na ndio akaanza akujiita Derrick Jamal๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Ebu twende part 2 wakuuโ€ฆ.

๐๐€๐‘๐“ ๐Ÿ
Neema kusikia Naomi ako na stomach cancer alisahau yale mabaya amefanyiwa akamcall Naomi kumpa tu zile pole na kumpa moyo kuwa yake anapitia, yatapita. Just imagine having a friend like Neema, no matter how bad unakosea she still has that courtesyโ€ฆplus now kumbuka Naomi ni pregnantโ€ฆeven though Richard anajua si yake ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚aligpngewa.

Sasa finally, Jojo alikutana Jayden kuongea na Jayden hakutaka kuwaste time akauliza Jojo, so ushacancel plans zetu za kuenda majuu??? Jojo akamuuliza why? Jayden akamwambia niliambiwa na beshte yako Brayoโ€ฆkwanza Jojo akashtuka, Brayo alijua aje but akaambia Jayden unajua venye dad amekuja so namsaidia kuconvince madhe so hadi familia irudi sawa ndio twendeโ€ฆLakini Jayden akamuuliza, so if it won’t work you will give up on your dreams??. Jojo akamwambia, I can’t answer that nowโ€ฆJayden akajua hapa, hana lake ๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข

Tom aliletwa kwa Mark and after days, wamekutana na Cate tena. Such a happy moment.

Siku iliyofuata, kumbe leo hii ni siku kubwa ya Jojo, she is graduating today. Kumbe Jojo alikua ashamuita babake but hakuambia mamake so wakitoka tu hivi, mbele yao Eddy amefika๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Neema akauliza Eddy unafanya nini, Eddy akamwambia ni siku ya mtoto wetu ya graduation so tunaenda kama wazazi.

Sikiza, Neema ilikua waende na Mark but sasa ju Eddy amekuja, Neema akaambia Mark aje “utanikalia na Ian” na hii ina maana Neema na Jojo na Eddy ndio wanaenda ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Jayden pia alikua amekuja kupick Jojo but kuona Jojo hana time yake na ameenda kwa gari ya babake ilibidi mwanaume ajipe shughuli.

Neema hapendezwi na hii ujinga, ju anajua hivi ndio Eddy alikua anafanya akamharibu Jojo kabisa ameanza tena.

Jojo alimcall Val akamwambia guess what, babangu ameninunulia gariโ€ฆVal alishtuka kwanza akaambia mamake imagine Jojo amepewa gari na babake kama giftโ€ฆSharon akamwambia usijali babako pia angebuy shida yake ni pesa zinaishia kwa pombe na wasichanaโ€ฆHii statement ya Sharon iliwashtua akina Val na Dan, si kwa sababu amesema ukweli but ni kwa sababu ya “kwani ameanza kukumbuka mambo ya kitambo” ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Hii ina maana, Sharon Madiba, ameanza kupona Asante sana na sasa akipona, likes of Val, Dan watapenda๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚wah! Noma sana.

  • Mil

    I'm a content creator, Web/android developer, IT specialist, digital marketer and super Admin. Reach out for any inquiry: info@milton.co.ke

    Related Posts

    7 Arrested In Kasama For Theft Of ZESCO Copper Cables And Stolen Property

    SEVEN ARRESTED IN KASAMA FOR THEFT OF ZESCO COPPER CABLES AND STOLEN PROPERTY Seven people, among them two Chinese nationals have been arrested in Kasama for the suspected theft of…

    Read more

    • MilMil
    • News
    • July 10, 2025
    • 1 minute Read
    Commissioner Gitonga Destroys Over 30 (KANONDO) Gambling Machines Netted in Tharaka Nithiร 

    Tharaka Nithi County Commissioner David Gitonga has led a crackdown on illegal gambling, overseeing the destruction of more than 30 gambling machines seized from different parts of the county.The machines,…

    Read more

    You Missed

    7 Arrested In Kasama For Theft Of ZESCO Copper Cables And Stolen Property

    • By Mil
    • July 10, 2025
    7 Arrested In Kasama For Theft Of ZESCO Copper Cables And Stolen Property

    Commissioner Gitonga Destroys Over 30 (KANONDO) Gambling Machines Netted in Tharaka Nithiร 

    • By Mil
    • July 10, 2025
    Commissioner Gitonga Destroys Over 30 (KANONDO) Gambling Machines Netted in Tharaka Nithiร 

    A cheating husband wanted to find out ifhis wife knew about his unfaithfulness to her

    • By Mil
    • July 10, 2025
    A cheating husband wanted to find out ifhis wife knew about his unfaithfulness to her

    PNU Party Leader Peter Munya Cancels Fred Matiang’i’s Meru Tour

    • By Mil
    • July 10, 2025
    PNU Party Leader Peter Munya Cancels Fred Matiang’i’s Meru Tour

    DPP has approved murder charges against police officer Barasa Masinde

    • By Mil
    • July 10, 2025
    DPP has approved murder charges against police officer Barasa Masinde

    DO’s and DONT’s in Chicken Farming

    • By Mil
    • July 7, 2025
    DO’s and DONT’s in Chicken Farming

    Things To Do Immediately After Buying Land

    • By Mil
    • July 7, 2025
    Things To Do Immediately After Buying Land

    Kenya Railways Resumes Madaraka Express After Sunday Disruption

    • By Mil
    • July 7, 2025
    Kenya Railways Resumes Madaraka Express After Sunday Disruption

    Here Is The New Arsenal Striker

    • By Mil
    • July 7, 2025
    Here Is The New Arsenal Striker

    UPDATE: Justice Chacha Mwita adjourns digital activist Ndiangui Kinyagia case to July 18 and 24

    • By Mil
    • July 3, 2025
    UPDATE: Justice Chacha Mwita adjourns digital activist Ndiangui Kinyagia case to July 18 and 24

    Looters Nabbed, Stolen Property Recovered IN Police Blitz

    • By Mil
    • June 29, 2025
    Looters Nabbed, Stolen Property Recovered IN Police Blitz

    How To Make Money Massively In Pig Farming

    • By Mil
    • June 29, 2025
    How To Make Money Massively In Pig Farming

    Football Transfer Gossip

    • By Mil
    • June 29, 2025
    Football Transfer Gossip

    Recovery Of Stolen Firearms

    • By Mil
    • June 28, 2025
    Recovery Of Stolen Firearms

    3 Arrested For The June 25th Goons Attack On Persons And Property

    • By Mil
    • June 28, 2025
    3 Arrested For The June 25th Goons Attack On Persons And Property

    How to Plant Potatoes

    • By Mil
    • June 28, 2025
    How to Plant Potatoes

    Former Deputy President Rigathi Gachagua has broken his silence on why he was absent during the June 25th demonstrations

    • By Mil
    • June 28, 2025
    Former Deputy President Rigathi Gachagua has broken his silence on why he was absent during the June 25th demonstrations

    UPDATE: Iran’s parliament has approved a motion to close the Strait of Hormuz

    • By Mil
    • June 23, 2025
    UPDATE: Iran’s parliament has approved a motion to close the Strait of Hormuz

    Is He “Dead”?

    • By Mil
    • June 22, 2025
    Is He “Dead”?

    The Most Tested Proven Ways To make Your Chicken Lay More

    • By Mil
    • June 21, 2025
    The Most Tested Proven Ways To make Your Chicken Lay More

    13 Things That Secretly Destroy A Man’s Destiny

    • By Mil
    • June 21, 2025
    13 Things That Secretly Destroy A Man’s Destiny

    Update: OCS Talaam Files A Case Against IPOA

    • By Mil
    • June 20, 2025
    Update: OCS Talaam Files A Case Against IPOA

    What Nandi Senator Said About The Police officer Who Was Shot Dead

    • By Mil
    • June 20, 2025
    What Nandi Senator Said About The Police officer Who Was Shot Dead

    An Associated Press photographer Brian Inganga captured the shooting of a civilian by a Kenyan police officer

    • By Mil
    • June 18, 2025
    An Associated Press photographer Brian Inganga captured the shooting of a civilian by a Kenyan police officer

    Iran has asked Qatar, Saudi Arabia, and Oman to urge US President Donald Trump to pressure Israel into an immediate ceasefire

    • By Mil
    • June 17, 2025
    Iran has asked Qatar, Saudi Arabia, and Oman to urge US President Donald Trump to pressure Israel into an immediate ceasefire

    My Advice To Youths

    • By Mil
    • June 17, 2025
    My Advice To Youths